Kuna mdada mmoja nilikutana nae huko fb baada ya kumtafuna akaniomba nauli nikamwambia ngoja nikupeleke na boda yangu akakataa basi sio kesi nikampa elfu 5 baada ya dakika 40 akanitumia sms kuwa mimi nawewe tuachane kuanzia leo usinitafute naona hatuaendani.
mwingine nikamgegeda yeye hakuomba hera wala nauli lakini baada ya muda akatuma sms jamani baby uminyima hata nauli,, hadi leo hajaiona hata mia yangu dini hairuhusu kununua k.
mwingine bwana haombagi hera siku mwoja akaniambia tatizo lako unafeli sehemu moja tu hutoagi hera ya sabuni nikaona siyo mbaya last week nimempelekea miche 3 ya jamaa na kiroba cha kg25 cha sabuni ya unga sahiz ninapoandika ameshaniblock