Nisawa mkuu lakini me Nina ushuhuda kidogo ambao yamkini nikapinga hoja yako, Kuna jamaa anafamilia na anamiliki miladi mikubwa tu Ila maisha yake kipindi anaoa yalikuwa hovyo kuliko Tena hakuwa na kitu,Sasa kadri Mali zinavyozidi kuongezeka ndivyo mke wake anazidi kumegwa na vitoto vidogo visivyo hata na baiskeli,vinajua tu kununua pamba na fasheni mpya Tena kwapesa ya wazazi wao, Sasa hapo tatizo lipo wapi katka HIYO familia ya jamaa ambayebameamua kumnunulia mke gari Kari lakini mke NI mchepukaji