Kipato chako ndicho kitakachokupatia mpenzi wa daraja lako

Kmmk
 
Unamaanisha kipato cha mtu kina amua mahusiano yake. Unamaana mapenzi ya dhati hayapo?. Yaani masikini hawezi kuwa na uhusiano na tajiri?.

Mimi nadhani huo ni mtazamo wako tu. Si ajabu umechagizwa na yale uliyokutana nayo ktk mahusiano uliyopitia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dini hairuhusu kununua k.
Lakini dini hiyo hiyo inakuruhusu kubadilisha k kilasiku bila ndoa?
Weee bana wewe acha zako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unamaanisha kipato cha mtu kina amua mahusiano yake. Unamaana mapenzi ya dhati hayapo?. Yaani masikini hawezi kuwa na uhusiano na tajiri?.

Mimi nadhani huo ni mtazamo wako tu. Si ajabu umechagizwa na yale uliyokutana nayo ktk mahusiano uliyopitia.
Ukitaka kujua chaguo lako,ngoja pato lako liongezeke
 
Ila dini inaruhusu uzinzi si ndio?
 
Sawa haijaruhusu kununua k lakini tuoneshe waliporuhusu kunyanduana kabla ya ndoa coz kosa umeona la mwenzio tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…