Kipato chako ndicho kitakachokupatia mpenzi wa daraja lako

Unamaanisha kipato cha mtu kina amua mahusiano yake. Unamaana mapenzi ya dhati hayapo?. Yaani masikini hawezi kuwa na uhusiano na tajiri?.

Mimi nadhani huo ni mtazamo wako tu. Si ajabu umechagizwa na yale uliyokutana nayo ktk mahusiano uliyopitia.
Wewe unaweza muoa mtoto wa dewji, bahresa au laizer? Kwanza mtakutana wapi ? Hata shule hawasomi kayumba? Nyumba zao ulinzi mkali? Sokoni anaenda house girl.
 
Duh!!!
 
Kama inakujaaa ivii alafu inakataaaaa
 
Wewe unaweza muoa mtoto wa dewji, bahresa au laizer? Kwanza mtakutana wapi ? Hata shule hawasomi kayumba? Nyumba zao ulinzi mkali? Sokoni anaenda house girl.
mkuu unaweza oa yeyote unaemtaka, suala ni kujiamini tu. Unaweza kuwa na pesa nyingi halafu mkeo akaishia kutembea na muuza machungwa.
Mapenzi ni dhana pana, pesa haitafsiri mapenzi.
 
mkuu unaweza oa yeyote unaemtaka, suala ni kujiamini tu. Unaweza kuwa na pesa nyingi halafu mkeo akaishia kutembea na muuza machungwa.
Mapenzi ni dhana pana, pesa haitafsiri mapenzi.
Kama mifano ipo ingekuwa vizuri zaidi
 
Haukatazwi kwa mtazamo wako... ila unaweza kula pisi yiyote ile ukitaka.

Wanawake wengi wanapenda kuineshwa matarajio, hata km kiuhalisia hayawezekani. Kimsingi unatakiwa uwe fundi wa kupretend pale inapobidi... amini utawanyoa sana kipara.
 
Ku-pretend haina shida,je miaka yote ukiwa naye unaweza kupretend?
 
Mkuu ukweli mtu umenigusa direct
 
Nini maana ya kuwa tajiri?

Tunatofautiana mtazamo, Kwa Mtazamo wangu laizer si tajiri, ana sh billion 13, majukumu ya watoto 30 na wake 4..hivyo billion 13 cyo hela nyingi sana kwake..Hata kwa kidume single, Dola million 6 (tsh billion 13) na ushee ni pesa nyingi, ila kwa marekani huezi ishi lifestyle kitajiri kwa miaka 5 (billion 13)

Kwa mtazamo wangu, Matajiri ni kama kina bakhresa, the late dr mengi, baba ake dewji (sio mo) bcoz wana assets za kuwaingizia mamilioni ya dola kila mwaka so wanaeza ishi kitajiri nchi yoyote ile duniani.. Equation x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…