Swala la ccm kuingiza maslahi ya dini ni dalili kuwa kuna agenda za siri zinatakazoingiza nchi kwenye machafuko.
Sioni kwa nchi ambayo inalemewa na umaskini na matatizo chungu mzima serikali yake inaanza kusababisha malumbano baina ya imani ndani ya nchi ambapo mwisho wa siku faida zake ni ndogo kuliko hasara.
Swala la dini katiba inaeleza wazi kwamba serikali haina dini bali watu wake ndio wenye dini. Kama ndivyo kwanini tuanze kuingiza maswala ya mahakama za kidini na vyombo vya kidini ambavyo vinaweza kusimamiwa na taasisi zenyewe za dini?
Kila dini ikianza kuleta mambo yake yawekwe kwenye sheria za nchi, ni kweli kwamba mpasuko miongoni mwa wananchi utaanza mara moja pasipo kuwa na umakini.