Stephan Lichtsteiner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 520
- 1,476
Yan mie nilikua nachulia poa huu msemo wa "tafuta hela" ila juz kat yamenikuta nasema wazee tutafute hela tuache kulia lia wanawake wapo kibao roadTafuta hela bro anatakiwa akirudi akute parking imejaa
Sawa lakini angalia ni makosa makubwa kiasi gani na yanajirudia rudia mara ngapi manake makosa kila mtu anatenda ila makosa gani na yanajirudia kila wakati?Ivi mimi malaika mpaka nisikose
ukipata pesa usiiendekeze wanawakeYan mie nilikua nachulia poa huu msemo wa "tafuta hela" ila juz kat yamenikuta nasema wazee tutafute hela tuache kulia lia wanawake wapo kibao road
Sawa ila simbembeleziSawa lakini angalia ni makosa makubwa kiasi gani na yanajirudia rudia mara ngapi manake makosa kila mtu anatenda ila makosa gani na yanajirudia kila wakati?
Nakubali mkuuA
ukipata pesa usiiendekeze wanawake
Uangalie usikimbiwe na wengine wote watakaokuja.Sawa ila simbembelezi
Wanawake wanapenda pesa sana kuliko mfukoNakubali mkuu
Anapenda pesa sana na mimi napenda pesa kuliko yeye kwahiyo kila siku ninugomviUangalie usikimbiwe na wengine wote watakaokuja.
Mdada mke si unaoa
Ndio maana leo sijamtafutaSasa si uoe au umwache? Wa kazi gani mtu ambaye ujaoa anakuhangaisha hivyo?
Yalikukuta yapi mkuu?Yan mie nilikua nachulia poa huu msemo wa "tafuta hela" ila juz kat yamenikuta nasema wazee tutafute hela tuache kulia lia wanawake wapo kibao road
Hauna hizo pesa anazopenda sio kwamba unapendda zaidAnapenda pesa sana na mimi napenda pesa kuliko yeye kwahiyo kila siku ninugomvi
KumbeeHapa ndani skuizi pamekua na vijana wa hovyo sana...π€¨
π soko gumuKwanini arudi? Usimpokeeee wape nafasi wengine soko ni gumu eti ππ
Ww kwahiyo unanisaidiaje kijana mwezio masikini kama mimi πHauna hizo pesa anazopenda sio kwamba unapendda zaid
Vyovyote vile kikubwa u get paidππππ khaa ase ngoja nikabebe zege
Usimtafute maisha yako yooote block kila mahala.Hello Africa
Nipo kwenye mahusihano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na mbembeleza sasa juzi tena tumegombana kakunja nguo zake kaondoka na mimi nimemuacha sija mbembeleza kasepa zake mpaka leo sijamtafuta ila nawaza tu akirudi nimpokee au nisimpokee?
Mfate arudi, tafadhari Sana mke ni faraja katika maisha.