Kipenzi changu anatishia kuondoka

Kipenzi changu anatishia kuondoka

Hello Africa

Nipo kwenye mahusihano na mdada mmoja ambaye tulijuana tukiwa shule ya upili ni mda sasa tangu tuwe kwenye mahusihano sasa kila tukigombana anakunja nguo zake anataka kuondoka na mbembeleza sasa juzi tena tumegombana kakunja nguo zake kaondoka na mimi nimemuacha sija mbembeleza kasepa zake mpaka leo sijamtafuta ila nawaza tu akirudi nimpokee au nisimpokee?
Nigee namba zake nimshauri na kumtuliza aache wenge
 
Mwanaume kama unataka aman na furaha kuwa na wanawake kuanzia watatu kuendelea huwezi kuumiza nayo kichwa kwa mambo Yao ya ajabu ajabu,
Anakutishia kuondoka kuondoka imekuwa daladala ya kariakoo piga chini songa mbele!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom