Kipenzi changu anatishia kuondoka

Sidhani ni busara kukaa na mtoto wa mtu kwa mda mrefu bila utaratibu, kuna namna unajijengea laana kwa watoto wako mbele, umekaa naye mda wajua tabia zake, amua sasa kuoa au kumuacha.
Acha basi mimi sikutaka kukaa nae yeye ndio alilazimisha
 
Acha basi mimi sikutaka kukaa nae yeye ndio alilazimisha

Nakushauri kama ndugu yangu, ukiyafanya haya unaweza usiwe mtu mwenye furaha huko mbele.

Unapo kaa naye kwa kufikiri yeye ndo ana shida na wewe umuhitaji, kwa nini usimuache akutane na wengine?

Huu mda wake unaoutumia, kama baadae utamfanya alalamike, lazima kuna namna itaku cost.
 
Tatizo apo ni ela
 
Sawa kaka mkubwa
 
Mwanaume hutakiwi kuyumbishwa na mambo madogo madogo Kama hayo,chagua Moja aidha kusuka au kunyoa.

Kama kweli kaamua kuondoka we muache aende na Wala usimtafute.
 
Huyo sio kipenzi chako tena. Ninacho amini kipenzi chako hakikupi wakati mgumu. Itakua ni kipenzi cha wote ila wewe ukataka kujimilikisha kiwe chako
 
Umechelewa sana kumuacha mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…