Kipi afadhali ?

Kipi afadhali ?

RIP MAMDOGO
sasa achana na mapenz kwanza jipe pumzi kidogo badae ndio utaendelea nayo mana yako cku zote ila mamdogo ndio hayuko tena

Aminata ! Aksante kwa ushauri japo mpenzi angenisadia kuniliwaza huzuni msibani.
 
Hii ishu inakuwa ngumu sababu huyo ni mpenzi na hatujui una malengo gani nae. Angekuwa mke/mchumba ushauri ungekua tofauti. All in all mi naona kitendo chake cha kukaa kimya mwezi mzima kinamaanisha hayuko tayari kuacha pombe, kaona bora akuache wewe!
CHOJI ! Ni "smol hausi" but am on the way to be a legal couple with her ! Hata hivyo unayosema pia ni katika "maneno ya kufanyia kazi"
 
Pole sana kwa msiba. Kuhusu mpenz wako nahc ulimtaman bila kumchunguza mwanzo. Kaanza kunywa lini? Vumilia tabia yake kwa kuwa hukutaka kumchunguza mapema! Majuto ni mjukuu.

PAX! Thanks Ni kweli mkuu nilijidanganya nitamdhibiti kumbe NAPAKA RANGI UPEPO!
 
Waungwana wadau, kwanza ninasikitika kwa kutokuepo mkekani kama ilivyo kawaida yangu kwa takriban siku 4-5 kufuatia kufiwa na Mama mdogo wangu J'2 iliopita na tumemzika jana (R.I.P mama). Wadau imefika karibu mwezi mmoja tangu nitatizane na mpenzi ambapo issue ilikua nimie kumkalia kooni aache Pombe.
Tangia hiyo siku nilimtumia msg mbili hakunijibu ambavyo si kawaida yake, kilichofata nami nikajibu mapigo ya kukaa kimya na leo imefika mwezi kamili no communication each other.
Aidha sio siri maumivu niyapatayo ni makubwa kuliko sana, yote kwa yote still bado niko na msimamo wa kutovunja ukimya kwani naamini kwa kuanza mie kuvunja ukimya ni kujirahisisha kama sio kujidhalilisha.
Nachouliza kati ya kupata hasara ya kukosa penzi na hasara ya kupata katika kazi/shughuli (kifedha) ipi yenye nafuu ?

Tujadili topic ipi ya kufiwa au ya ukimyaa wewe na king'asti wako?
Any way R.I.P mama mdogo
 
Pole kwa msiba wa mama... huyo mpenzi wako ameamua kuchagua kati ya wewe na pombe. umempa msimamo wako mwache afanye wake na kilamtu aheshimu maamuzi ya mwenzie...
 
Teh Sasa mbona kesi imeisha??? Mwanamke hatakiwi kuwa na kiburi cha hivyo...kumtafuta ni kujilazimisha kuingia kwenye maisha ya migogoro kila siku...huyo kimeo na si mke mtarajiwa...ni kero mtarajiwa

ERICKB52! niliwa'miss watu wangu wa Jf pamoja nawe maneno yako MSUMARI ! Maneno kama uliyoniambia ndiyo kwa slogany ya mtaani hujibiwa "hilo nalo neno"
 
Pole sana kwa kufiwa na mama yako mdogo!nakushauri ujishushe,uongee na mpenzi wako ili mpate muafaka wa mtafaruku wenu!
 
Pole sana kwa kufiwa na mama yako mdogo!nakushauri ujishushe,uongee na mpenzi wako ili mpate muafaka wa mtafaruku wenu!

TUKUTUKU! Your user name Burdani ! Thanks kwa pole, na kwa ushauri japo kujishusha ni shughuli pevu!
 
Tujadili topic ipi ya kufiwa au ya ukimyaa wewe na king'asti wako?
Any way R.I.P mama mdogo

TIQO ! Habari ya msiba imekua attached kuwaelewesha wadau sababu yangu ya kutokuwepo Jamvini kwa abt 5 days. Habari iliobeba thread ni "KIPI KIUMACHO SANA KATI YA HASARA YA PENZI NA FEDHA ? "
 
Pole kwa msiba wa mama... huyo mpenzi wako ameamua kuchagua kati ya wewe na pombe. umempa msimamo wako mwache afanye wake na kilamtu aheshimu maamuzi ya mwenzie...

ELIA ! Double thanks !
 
Ngoja niongeze ushauri mwingine!
"huyo mwanamke mlevi na mwenye kiburi hafai kuwa mke! Hivyo tupa manyanga utafute mlokole na usijali utajifunza kumpenda tu na huyo"

Kazi ni kwako! Source Vodakomu!
 
Usikilize moyo wako!
Bado wamhitaji mpenzio/ana umuhimu katika maisha yako????
Kama jibu ni ndiyo, inabidi ukae nae chini uongee nae na pia unatakiwa uchukulie unywaji wake wa pombe ni sehemu ya mapungufu aliyonayo kwani kila binadamu anayo mapungufu yake.
Kwani waweza kumuacha yeye mnywaji bia na kumpata kikojozi ambapo utasikia shida zaidi.
 
Ngoja niongeze ushauri mwingine!
"huyo mwanamke mlevi na mwenye kiburi hafai kuwa mke! Hivyo tupa manyanga utafute mlokole na usijali utajifunza kumpenda tu na huyo"

Kazi ni kwako! Source Vodakomu!

KAUNGA! Nazingatia! Additional yako
 
Usikilize moyo wako!
Bado wamhitaji mpenzio/ana umuhimu katika maisha yako????
Kama jibu ni ndiyo, inabidi ukae nae chini uongee nae na pia unatakiwa uchukulie unywaji wake wa pombe ni sehemu ya mapungufu aliyonayo kwani kila binadamu anayo mapungufu yake.
Kwani waweza kumuacha yeye mnywaji bia na kumpata kikojozi ambapo utasikia shida zaidi.

Evarm! We Chelsea nini ? Ukishindwa kunielewa kwa vipi nimekuuliza hivyo, utanipa mji. Thanks kwa comments wonderfully!
 
Ngoja niongeze ushauri mwingine!
"huyo mwanamke mlevi na mwenye kiburi hafai kuwa mke! Hivyo tupa manyanga utafute mlokole na usijali utajifunza kumpenda tu na huyo"

Kazi ni kwako! Source Vodakomu!


Kwa upande mmoja nakubaliana kabisa na Kaunga, mwanamke mjeuri kama huyo akia mkeo she will make you suffer doe the rest of your life. Kama sasa ni marafiki anakufanyia hivyo, akwai mkeo anakunyima mwezi mzima na asiongee na wewe. Hilo ni moja.

Ila kama unampenda sana kama unavyodai mwenyewe, there is no other option: go fo her. Kuhusu ulevi wake jitahidi usimkalie kooni, talk to her slowly, slowly na kwa mapenzi. Kaam kweli anakusikiliza ataach taratibu. Kama sasa hivi anakunywa 10, basi ukiongea naye ushangaaa anapunguza hadi 8, 5, 3, na hadi itafikia anakunywa 1, na mwisho kabisa ataacha.

Jamani hiyo si ndio achievement kwa mpenzi wako, au wewe unataka ready made?
 
Pole sana kaka kwa kuondokea na mpenzi mama mdogo!

Kwa issue huyo GF wako, mpaka sasa unasema ni mwezi 1 hamjawasiliana kuna shida na unaonyesha hataki mjadala kwa suala la pombe imekuwa vizuri kulia hilo mapema kabla hamjaingia kwenye ndoa, kama hamja kuwa na makubaliano ni afadhali kila mtu achukue njia yake.
Asikwambie mtu Pombe noma, atakuja lala siku moja bar anakuacha home na watoto!
 
Pole sn kwa msiba Inshaallah Mungu atakuongezea subra.
Umefiwa na mama mdogo leo km ya 5, na tangu mawasiliano yakome kati yako na ur gf ni mwezi sasa, tuseme yeye hajasikia hatakusema akupigie na akupe pole. Haiwezekani, huyo ni jeuri na hafai kwa future yako.
Km umekusudia kumfanya mwenza halali ktk maisha yako hafai, coz m'ke ni nguzo ktk familia sasa yy akiwa hataki kuacha pombe na ana jeuri ivoo huoni km itakua unajiingiza kwenye shimo!? Na hao wtt mtakaopata watakuja kuwa na malezi gani toka kwa mama yao? Pombe ni mama wa maasi, nakupongeza kwa ww kutokunywa.
 
pole sana na msiba
kuhusu mapenzi huyo sio wako tena sijui hatra mkirudiana mtaelezana nni.
 
Back
Top Bottom