mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,848
- 22,392
Nimekosa utamu sababu ya kutaka kupima afya..Vyote ni muhimu hakuna kilichomzidi mwenzie maana vinafanya kazi Moja,
Kuna wanawake wakiskia kucheki afya wanapagawa.
Alipochomoka gheto akaniblock