Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Focus on the Road.... Shika kimoja tu utatoboa ndugu.Habari zenu wakuuu..!
Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!?
| Naomba maoni yenu wakuu!
Well described, shukran sana brother kwa ufafanuziFanya mastering maana ielewa sector moja vizuri then uanze kupiga hela kupitia hiyo sector
Mfano unakuwa dalali wa Nyumba
Unajifunza kuhusu squares meters
Unajufunza kuhusu location
Unajifunza kuhusu hati
Unajifunza kuhusu asilimia
Unajifunza kubusu robbing
Ukiwa fit ukaanza kupata hela unaanza kuwa winga au dalali wa kila kitu.
Mfano Magari
Viwanja
Maukumbi
N.k
Kama unaanza uwinga wekeza mwezi mmoja kuielewa bidhaa na ujifunze how to manipulate client mind
Kuwa na good communication6 skills-hapa ndo kuna uchawi mkubwa.
Fanya follow up -MTU akikuuliza bei jaribu pia kumfafuta after one week mbele hii huitwa fellow up.
Kuwa msafi na smart
Kazi ya uwinga na udalali zinalipa Sana Ila nyingi hufanywa na watu ambao hawajaenda shule
So ukiwa na kaelimu kakuandika vizuri kuongea vizuri utapata pesa.
All the best
Hata salam SK yule ni dalali wa diamond . anamtafutia mond show then mond anamlipa commission
Focus na biashara moja.
Kuwa na Good customer service.(hii hata wamiliki na wafanya biashara wenyewe wanakosa transaction sababu ya kukosa hii skill set) Pamoja na social skills.
Hata linapokuja swala la ku-make trust inakua ni rahisi tofauti na unapochanganya changanya bidhaa!Focus na biashara moja.
Kuwa na Good customer service.(hii hata wamiliki na wafanya biashara wenyewe wanakosa transaction sababu ya kukosa hii skill set) Pamoja na social skills.!
Ukifocus na bidhaa moja, utachelewa sanaHabari zenu wakuuu..!
Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!?
Naomba maoni yenu wakuu!
Ikiwa lengo ni kupata initial income kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo naona ni bora ku-focus na bidhaa moja au niche, kwa mfano phones and Accessories au Home appliances.Ukifocus na bidhaa moja, utachelewa sana
Winga hana tofauti na online business, unazijua changamoto zke?Ikiwa lengo ni kupata initial income kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo naona ni bora ku-focus na bidhaa moja au niche, kwa mfano phones and Accessories au Home appliances.
Iyo itakupa urahisi wa kujibrand na hata kueleweka/kuaminika!
Naona si vyema kuchanganya bidhaa ikiwa ndo kwanza unaanza, kwasababu itakufanya uwe overwhelmed, baadae utapoteza matumaini kwa kuona kazi ni ngumu!
Unaweza kuwa na bidhaa tofauti zenye mlengo mmojaHabari zenu wakuuu..!
Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!?
Naomba maoni yenu wakuu!
Unaweza kuwa na bidhaa tofauti zenye mlengo mmoja
Ni kukomaa tu!Winga hana tofauti na online business, unazijua changamoto zke?
Sisi tushafanya hilo, so usione kama tunaongea tu.. tumefanya muda. Mm ni winga now ni mwaka wa 2Ni kukomaa tu!
Hakuna senti inayoingia mfukoni bila kupitia changamoto.
Changamoto utazielewa vizuri pindi utakapokuwa kwenye mchakato!