Kipi bora kati ya kwenda jeshini na chuo kikuu kwa mtu aliyesoma science

ni kweli na hii naona itasababisha mapungufu kwenye jeshi letu maana watu hawaendi kujiunga na jeshi kwa lengo la usalama wa nchi ila kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na kupata maslahi zaidi

Kwa hiyo mtazamo wako ukoje MKuu..kusoma kwanza au kwenda jeshi kwa mimi mwanasayansi
 
Mkuu nenda kasome. Jeshi ni ajira ndio lakini si profession ambayo unaweza kuifanya siku ukistaafu au kuachishwa jeshini. Soma kwanza, elimu ni AKIBA na haiozi , anytime unaitumia.
Jeshini unaweza ukaingia ila kusoma ni probability
 
Unalipenda jeshi au unataka kuwa askari hela?? Fungua kwanza moyo dogo.
 
Shule kwanza udisikilize maneno ya vijiweni tena ukimaliza ajiriwa hukohuko uraiani ila ukishindwa kabisa ndo uende huko.
 
Kwa nini unataka kwenda Jeshini?

Yaani kwa nini una options hizo mbili tu...jeshi na shule?
 
Kwa nini unataka kwenda Jeshini?

Yaani kwa nini una options hizo mbili tu...jeshi na shule?

Ndi hvyo kati ya jeshi au chuo lakini wazazi wanapenda nisome kwanza
 
acha kudanganya watu ww unatakiwa ingie jeshn kama mjibu wa sheria na cyo kwenda kwenye ajira hyo ni lazima kwa wahitim wote wakidato cha sita na hyo ni jkt au ww unaingia jesh lip?
 
acha kudanganya watu ww unatakiwa ingie jeshn kama mjibu wa sheria na cyo kwenda kwenye ajira hyo ni lazima kwa wahitim wote wakidato cha sita na hyo ni jkt au ww unaingia jesh lip?

Kwa ajili ya ajira mkuu JWTZ
 
Ndi hvyo kati ya jeshi au chuo lakini wazazi wanapenda nisome kwanza

we soma tu ila kama una uhakika wa kupata chance ya kuingia jeshin we ingia tu, maana kadri muda unavyoenda ndivyo ajira znavyozd kubana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…