mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
- Thread starter
- #21
ni kweli na hii naona itasababisha mapungufu kwenye jeshi letu maana watu hawaendi kujiunga na jeshi kwa lengo la usalama wa nchi ila kwa ajili ya kukabiliana na changamoto za ajira na kupata maslahi zaidi
Kwa hiyo mtazamo wako ukoje MKuu..kusoma kwanza au kwenda jeshi kwa mimi mwanasayansi