Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende zake tu chuo advance pasua kichwa
Dah naona wengi mliochangia hii mada form six milangukia pua.
Komaa kijana nanda advance!
Mpeleke chuo tuu ila kama anapenda kidato cha tano mpeleke pia
Hongera mkuu uko chuo gani?
@ geniusbaraka
Ukimpeleka chuo atakwepa jeshi ila awe na uhakika wa kupata kaz yenye malipo kidogo au ya kusuasua kwa kuwa hatakuwa na cv sawa na yule alipita 4m 6.njia za mkato zina madhara mkuu
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.
Nawakilisha.
Mkuu hapo si ungemwambia mapema aende chuo kuliko kuuzunguka mbuyu.......Faida zipo kutokana na combi atakayo taka kusome maana siku hizi kama comb za science mfano PCB ukipata three tu mkopo utafanya kuusikia kwa wengine sasa hapo kama huna uwez uwiii udaktari ndio baibai
kama ni arts inategemea akipiga one au two ewaaa mkopo anapata ila kama mwenyewe hana n is na A level mpeleke tu diploma maana asje poteza muda bure na siku hizi utandawaz umeenea