Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kosa la kufundi kwenye kuchapa mkuu,kaka aliyeoa!Hujaeleweka, kaka aliyetoa ni nini?
Wazazi wako kijijini nawe unasaka ajira mjiniHakuna bora, bora ukae kwa wazazi au kwako hata kama ni uchochoroni
kaolewa dada ako siyo wewe. Huyo shemeji yako siyo ndugu yako.Habari za Leo Wanajf katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako. Ahsanteni.
Kaa kwa kakaHabari za Leo Wanajf katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako. Ahsanteni.
Ni kweli mkuu,ila kwa uzoefu wangu ni kwamba madada wanawapendelea ndugu zao kuliko wa kiumeni mkuu!kaolewa dada ako siyo wewe. Huyo shemeji yako siyo ndugu yako.
Kakae kwa kaka yako umsaidie kazi za ziada usipende kufugwa kama kuku
Kama ni wakiume kaa kwa kaka alieoa ili umsaidie kumliwaza mkewe wakati kaka hayupo au akishindwa kutimiza majukumu yake.Habari za Leo Wanajf katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako. Ahsanteni.
Sawa mkuu ni wakati wa msondo ili nipange kwangu!Panga kwako
Hapa lazima moshi utafukuta kabla moto hujalipuka!Kama ni kiume kaa kwa kaka alieoa ili umsaidie kumliwaza mkewe wakati kaka hayupo au akishindwa kutimiza majukumu yake.
Kama ni mwanamke kaa kwa dada alieolewa ili umsaidie shemeji yako wakati dada hajisikii vizuri.