jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu hilo biti shemeji aliweza kuendelea kuishi kweli hapo?Maisha haya!!kijana(shemeji wakiume) alikuja kwangu nikashangaa dada yake anapika vyakula aina mbili ,kumbe kijana anachagua vyakula tena akiwa kwangu,kitu ambacho ninaimani kama ndugu yangu wakiume asingethubutu.Nilipiga biti kwanza kwa Dada yake kisha kwa kijana.Walinielewa
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app