Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
- Thread starter
-
- #21
Ni mawazo Yako mkuu,Nina kwangu na watoto nipo Kisasa _Dodoma nilijenga Zamani sana wakati huo mfuko wa cement Tshs 500.Acha dharau dogo .Hakuna cha eti umekuta watu wakibishana,wewe sema tu kama unapima upepo hapa ili ujue unaenda kukaa kwa nani,
Kaa kwa wazazi wako au kaa Ghetto na masela mnachangishana mpaka utakapo kaa sawa.
KabisaHapa lazima moshi utafukuta kabla moto hujalipuka!
Kabisa bora kwa dada angalau.Inabidi utafute sehemu yako ya kuishi ila kukiwa hakuna namna ni heri ukae kwa dada.
Wanaume wengi tukioa wala hatuna noma na ndugu wa mke lakini kwa upande wa wanawake wengi huwa wanapenda nyumba iwe na ndugu zao tu, kaka unaweza anaweza asiwe na tatizo ila mke wake anaweza kuleta matatizo.
Inategemea kama dada yako nae anachangia kwenye kipato cha familia big yes ila kukaa kwa shemeji dada yako anamtegemea mme wake na wewe mtu mzima unamtegemeabshemeji kidogo inakuwa na walakini.Habari za Leo Wanajf katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako. Ahsanteni.
Ushauri mzuri sana kama unaweza kufanya kazi, maana sina uzoefu na maswala ya Masjid.Tafuta msikiti wa karibu na kwa dada, kulala na kufua masjid, kula kwa dada, utakuja kunishkuru!
Jifunzeni yalipozaliwa mahaba, Tanga:Hapa lazima moshi utafukuta kabla moto hujalipuka!
🤣🤣🤣🤣Wote wapumbafu bora nikajifungie kwenye ofisi za CHADEMA pale UFIPA..
Huoni kua wewe ndio unaleta dharau kumuita dogo mtu usiyemjua?Ni mawazo Yako mkuu,Nina kwangu na watoto nipo Kisasa _Dodoma nilijenga Zamani sana wakati huo mfuko wa cement Tshs 500.Acha dharau dogo .
KabisaHapa lazima moshi utafukuta kabla moto hujalipuka!
Kumbe unajua hunijui,kelele za nini,nimekuchana yakuingie,wewe ni dogo kichwani!Huoni kua wewe ndio unaleta dharau kumuita dogo mtu usiyemjua?