Kipi Bora kukaa kwa kaka aliyeoa au Kukaa kwa dada aliyeolewa, wakati unajichanga maisha?

Mkuu hilo biti shemeji aliweza kuendelea kuishi kweli hapo?

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Upo smart sana mkuu.
 
Unakaa kwa Dada yako, asubuhi unaamshwa seblen hapo.. mapema sana utoe vishuka vyako pamekucha.

Shemeji akirudi anakukata jicho kali sana kwanini hujawapa Kuku chakula kwa wakati.

Kingine unajishtukia sana ukitaka kwenda viwanja unaona Shemeji atakumind ukichelewa kurudi...

Na hivi huna kazi ya kufanya utaanza kushindana na Dada yako ktk kumtunza SHEMEJI.. utaanza kumuuliza umsaidie kazi gani hapo kwake.. na yeye atakwambia em njoo huku chumbani...
 
Hakuna cha eti umekuta watu wakibishana,wewe sema tu kama unapima upepo hapa ili ujue unaenda kukaa kwa nani,

Kaa kwa wazazi wako au kaa Ghetto na masela mnachangishana mpaka utakapo kaa sawa.
Geto Kwa msela anaweza kuliwaa aisee.
Kuna story uko x jamaa walikuwa wanaishi kigetogeto ghafla wakatinduana[emoji23][emoji23]
 
Hii kitu haitakuwa na ukomo wa aina yoyote na haitakaa iwe na hitimisho lolote lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…