Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa,

Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk.

Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji..

Sasa machaguo ni mawili;

1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla

2. Kutoka kuandamana kupaza sauti Ili kukomesha vitendo vya utekaji na wizi wa kura.

Chagua mojaπŸ™


Happy Birthday Tanganyika!

2025-1961=61.
 
Bora kutoka na kuandamana πŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸ‘©β€πŸ¦―πŸ‘©β€πŸ¦―πŸ‘©β€πŸ¦―
 
Anza Kwa kutufahamisha wewe ni Nani Ile kuweza kujua kama ulitokana na wewe kuandamana...au keyboard warrior ambae kila siku anabadilisha jina?
 
Kapteni Tesha atakuwa mkuu mpya wa majeshi. Rais wa mpito atakuwa Rose Ndauka au mzee Warioba
 
Bora kutoka na kuandamana πŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸ‘©β€πŸ¦―πŸ‘©β€πŸ¦―πŸ‘©β€πŸ¦―
Kuandamana ni kitendo Cha kishujaa, SI kusubiri wavunje mageti ukiwa huna Cha kufanya.
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…