🤣 🤣 🤣 🤣 unapata mshtuko wa moyo hapohapoSimu ya konda sawa na simu ya mtoa roho
Upo sahihi kabisa.Minimun nashauri iwe 10million japokua pungufu yahapo pía unaweza kufanya, 10-15m unaweza kuchukua mzigo kwa supplier mmoja a ukapewa mzigo wa 20-30m, sio vitu vyote kwenye hardware vinalipiwa cash, mfano baadhi ya mabati rangi nabaadhi yavitu vingine unaweza kuvipata bila kulipia kwajumla inategemea namakubaliano yako nasupplier. Kitu ambacho huwezi kukopeshwa ni gypsum, cement nabaadhi yavitu vingine
1. Dangote anawekeza kwenye oil refinery na sio kisima cha mafuta.Dangote anautajiri wa around 12 bil za kimarekan, ana project ya kisima cha mafuta cha dolla bil 10...kwa zaid ya 80% n pesa yake inatumika
Haya mambo hayanaga formula mkuu, unaweza ukakopa ukapoteza zote. Unaweza usikupoke ukatumia zako bado ukapoteza zote , na kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya usafirishaji ina Pesa kama utaisimamia au upate wasimamizi wanaojua hii ni ofisi,gari isikose service,fully vibali🤣 🤣 🤣 🤣 unapata mshtuko wa moyo hapohapo
Uko sahihi kabisaKipindi hiki cha wa wanafunzi wanarudi shule sio kizuri kwa jufanya tathimini, hiyo niia ni sawa lakini kipindi cha abairia wchache utapata shida, wateja wa kuokoteza si nzuri sana
Kwanza hakuna cement ya faida hiyo faida ni 300-400Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Mkuu kwa Idea yako ya kusimama kama konda pesa itarudi ndani ya mwaka, Chukua eicher ya milango miwili, wapiga debe wapo wengi katika kila kituo. Tegeta - kariakoo ni route nzuri sana mkuu. All the best mkuu.Sijawahi ifanya mkuu. Ndo my first time. Am sure hakuna aliyezaliwa anajua wote tunajifunza
Unaelewa maana ya 80%???1. Dangote anawekeza kwenye oil refinery na sio kisima cha mafuta.
2. Hiyo project sio yake kwa 100%. Kuna investors wengi tu wameweka mitaji yao.
Wahiyo sio kweli Dangote anawekeza hela yake yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Abiria hawakosekanag mkuu hata siku moja,..uamue kupiga route ndefu, yaan mfano ukitoa ubungo , hakuna kupakia wala kushusha mpaka kahama, kuna wakati kutakua na upungufu, ila kama njian unabeba na kushusha, pesa ipo mzeeKipindi hiki cha wa wanafunzi wanarudi shule sio kizuri kwa jufanya tathimini, hiyo niia ni sawa lakini kipindi cha abairia wchache utapata shida, wateja wa kuokoteza si nzuri sana
Si anafanya biashara mkuu, sio kwaajili ya stareheSasa ndo ukope ununue gari?haya akakope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utaweza kusubiri kipindi cha msimu wa mahindi kwenye hiyo 50m, utaweza kununua tan 100 za mahindi kwa maana ya tsh 450,000 kwa tan baada ya miezi minne utauza tsh 850,000 - 950,000 kwa tan faida hapo pamoja na usafiri na makodi na ushuru itakuwa 250,000 kwa tana kwa tani zako 100 utavuna 25,0000 kwa uchache.
Hii pia biashara huwa IPO kichwani mwangu mkuu. Inahitajika madawa ya kuhifadhia yasiharibikeKama utaweza kusubiri kipindi cha msimu wa mahindi kwenye hiyo 50m, utaweza kununua tan 100 za mahindi kwa maana ya tsh 450,000 kwa tan baada ya miezi minne utauza tsh 850,000 - 950,000 kwa tan faida hapo pamoja na usafiri na makodi na ushuru itakuwa 250,000 kwa tana kwa tani zako 100 utavuna 25,0000 kwa uchache.