Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

Kipi bora kununua Hiace mpya kwa 30M ama kuchukua Tata Marcopolo kwa mkopo

Cresida, HAYA MAMBO HAYANAGA FORMULA ,

Na nahisi hukusoma ukanielewa , labda niseme hivi, unaweza usikope ukatumia yako kuji finance ukafaulu , unaweza ukakopa ukafaulu , lakn pia unaweza ukaji finance ukafeli, na ukakopa ukafeli vile vile...kama n mtafutaji nadhan utakua unaelewa , hayanaga formula kwamba is right and this is wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna biashara nzuri au ngumu biashara ni akili yako.Biashara ni sawa na ndoa hadi uingie ndo ujue changamoto zake.
 
Daladala ni sawa na jini mufilisi usipokuwa makini Ina walaji wengi kuanzia nguo jeupe,yono,breakdown,mafundi,sumatra,kwa uchache ukiona Simu ya konda sawa na simu ya mtoa roho.
 
Minimun nashauri iwe 10million japokua pungufu yahapo pía unaweza kufanya, 10-15m unaweza kuchukua mzigo kwa supplier mmoja a ukapewa mzigo wa 20-30m, sio vitu vyote kwenye hardware vinalipiwa cash, mfano baadhi ya mabati rangi nabaadhi yavitu vingine unaweza kuvipata bila kulipia kwajumla inategemea namakubaliano yako nasupplier. Kitu ambacho huwezi kukopeshwa ni gypsum, cement nabaadhi yavitu vingine
Upo sahihi kabisa.

Biashara ya hardware ipo vizuri kwa sasa.

Anatakiwa aende maeneo ambayo watu wanaanza kujenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DeepPond, Nakuunga mkono 100%.

Kwenye hardware kuna vitu vinatembea sana na vile vinatoka taratibu.

Vinavyotoka haraka ni kama cement, nondo ambavyo unapata faida ndogo ila mtu ananunua kwa wingi.

Dukani kwangu kuna wakati nauza hata nondo 30 kwa siku na mifuko 50 ya cement. Ukipiga faida yake hapo lazima ufurahi.

Na vifaa vya bomba vina profit margin kubwa sana. Unanunua kitu 500 unauza hadi 1500 kwa kifaa kimoja.

Mtu akitaka kufanya plumbing kwenye nyumba yake na akachukua vifaa kwako unaweza kuuza mpaka vifaa vya 800K au 1M ila nusu yake ni faida tu.

Cha muhimu ni kutoka nje ya miji, sehemu wanazojenga watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dangote anautajiri wa around 12 bil za kimarekan, ana project ya kisima cha mafuta cha dolla bil 10...kwa zaid ya 80% n pesa yake inatumika

Haya mambo hayanaga formula mkuu, unaweza ukakopa ukapoteza zote. Unaweza usikupoke ukatumia zako bado ukapoteza zote , na kinyume chake

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Dangote anawekeza kwenye oil refinery na sio kisima cha mafuta.

2. Hiyo project sio yake kwa 100%. Kuna investors wengi tu wameweka mitaji yao.

Wahiyo sio kweli Dangote anawekeza hela yake yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Elli,
Kipindi hiki cha wa wanafunzi wanarudi shule sio kizuri kwa jufanya tathimini, hiyo niia ni sawa lakini kipindi cha abairia wchache utapata shida, wateja wa kuokoteza si nzuri sana
 
Kipindi hiki cha wa wanafunzi wanarudi shule sio kizuri kwa jufanya tathimini, hiyo niia ni sawa lakini kipindi cha abairia wchache utapata shida, wateja wa kuokoteza si nzuri sana
Uko sahihi kabisa
 
Hardware inaweza ikanipa 100-150k kwa siku kweli mkuu.
Hardware cement mfuko faida ni 500-1000.
Ninaangalia biashara nitakayotengeneza 150-200 padei. Nimefanya Savei ya biashara nyingi sana na changamoto zake zote.
Asante kwa wazo lako pia
Kwanza hakuna cement ya faida hiyo faida ni 300-400
 
Sijawahi ifanya mkuu. Ndo my first time. Am sure hakuna aliyezaliwa anajua wote tunajifunza
Mkuu kwa Idea yako ya kusimama kama konda pesa itarudi ndani ya mwaka, Chukua eicher ya milango miwili, wapiga debe wapo wengi katika kila kituo. Tegeta - kariakoo ni route nzuri sana mkuu. All the best mkuu.
 
Kama utaweza kusubiri kipindi cha msimu wa mahindi kwenye hiyo 50m, utaweza kununua tan 100 za mahindi kwa maana ya tsh 450,000 kwa tan baada ya miezi minne utauza tsh 850,000 - 950,000 kwa tan faida hapo pamoja na usafiri na makodi na ushuru itakuwa 250,000 kwa tana kwa tani zako 100 utavuna 25,0000 kwa uchache.
 
1. Dangote anawekeza kwenye oil refinery na sio kisima cha mafuta.

2. Hiyo project sio yake kwa 100%. Kuna investors wengi tu wameweka mitaji yao.

Wahiyo sio kweli Dangote anawekeza hela yake yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa maana ya 80%???

Pili..mafuta hanunui popote anachimba mwenyewe, sio oil refinery pekee, anafanya process zote kuanzia kutoa ardhin hadi kwa mtumiaj wa mwsho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hiki cha wa wanafunzi wanarudi shule sio kizuri kwa jufanya tathimini, hiyo niia ni sawa lakini kipindi cha abairia wchache utapata shida, wateja wa kuokoteza si nzuri sana
Abiria hawakosekanag mkuu hata siku moja,..uamue kupiga route ndefu, yaan mfano ukitoa ubungo , hakuna kupakia wala kushusha mpaka kahama, kuna wakati kutakua na upungufu, ila kama njian unabeba na kushusha, pesa ipo mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndo ukope ununue gari?haya akakope [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Si anafanya biashara mkuu, sio kwaajili ya starehe

Hizi Tata unazoona hapa mjini nyingi n mikopo

Kitu ambacho sipendi hiz gari, maisha yake mafupi , hapo tu ndio changamoto...ila weka plan yako vizuri , fanya utafit wa kutosha , unafanya biashara vizuri tu, hakuna siku huu mkoa unakosa abiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu Kurunzi msimu wa kununua mahindi huwaga ni lini?
Kama utaweza kusubiri kipindi cha msimu wa mahindi kwenye hiyo 50m, utaweza kununua tan 100 za mahindi kwa maana ya tsh 450,000 kwa tan baada ya miezi minne utauza tsh 850,000 - 950,000 kwa tan faida hapo pamoja na usafiri na makodi na ushuru itakuwa 250,000 kwa tana kwa tani zako 100 utavuna 25,0000 kwa uchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utaweza kusubiri kipindi cha msimu wa mahindi kwenye hiyo 50m, utaweza kununua tan 100 za mahindi kwa maana ya tsh 450,000 kwa tan baada ya miezi minne utauza tsh 850,000 - 950,000 kwa tan faida hapo pamoja na usafiri na makodi na ushuru itakuwa 250,000 kwa tana kwa tani zako 100 utavuna 25,0000 kwa uchache.
Hii pia biashara huwa IPO kichwani mwangu mkuu. Inahitajika madawa ya kuhifadhia yasiharibike
 
Back
Top Bottom