Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mkuu hata wakipaka deodorant bado ngoma ilikuwa inadunda..
Aisee 😁😁😁 kuna binti mmoja alipewa deodorant atumie,, dah iligonga mwamba mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata wakipaka deodorant bado ngoma ilikuwa inadunda..
Yessir.[emoji3][emoji3]au sio.."simu moja tukutane benki"
Kuwa msafi na kunukia vizuri kuna kupa kujiamini.
Hii sio kuoga tu, inategemeaga na mihemko na vyakula anavyokula mtu piaSio dar tu,,,waafrika wengi wananuka mwili
Boarding mi ilikuwaga kuoga ni wastani mara tatu []kwa wiki...... ilionekana nipo kundi la wanaopenda kuogaoga.Kula lazima kuoga hiyari. Nakumbuka boarding kipindi cha baridi watu tunakata mwezi hakuna kuoga. Ni kunawa tu.
Ukiwa sehemu zenye baridi Kama huku ARUSHA kuoga kipindi Kama hiki ni mtihani...ila sisi tuanoendesha German cars kuoga Lazima hata zaidi ya mara mbili kwa siku Kama umepata safari za kwenda homeWote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku
Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga usiku tena ikitokea siku nimeoga usiku basi kesho Asubuhi nitajisikia uvivu kuoga tena
KWANINI NAOGA ASUBUHI?
Naoga Asubuhi kwasababu naamini ndio muda sahihi wa kutoa uchafu wote ikiwemo na seli za ngozi zilizokufa and other bodily fluids
Pia nakua fresh zaidi kuianza siku mpya
KWANINI SIOGI USIKU
Mwili wa mwanadamu bado huwa unazalisha harufu mbaya usiku na hukusanya wadudu na seli za ngozi zilizokufa. hivyo kama Ukioga usiku itakulazimu kuoga tena Asubuhi kitu ambacho ni Anasa na upotevu wa Maji
Kwako kipi Bora na Sahihi? Kuoga Usiku au Asubuhi? Uzi unawahusu Wanaume tu, Wanawake Najua ni muhimu kuoga mara 2 Kila siku
View attachment 2264661
Huu wimbo kuna mwamba fulani boarding huko alienda bimbani akakinga maji yake freshi kaenda nayo bafunii kavua kibukta ile kuyatest na mkono kaona ya baridi mnooo!!Kula lazima, kuoga hiyari.
Hii sio kuoga tu, inategemeaga na mihemko na vyakula anavyokula mtu pia
[emoji1787][emoji1787] utakuwa una undugu na paka.Issue ya kuoga kwangu tangu nikiwa kwenye childhood ni tatizo sana kwangu yaani mpk nipigwe fimbo au nitishiwe kunyimwa mchele
Hata now ukubwani......siwezi kwenda kuoga ikiwa sijatoka jasho hata kidogo na kupigwa vumbi,hivyo ndo vipimo vyangu vya kuoga.....tofauti na hapo kufikisha Siku 2 sijaoga ni kawaida sana
Uliwahi kukaa karibu na wahindi?Sio dar tu,,,waafrika wengi wananuka mwili
Uliwahi kukaa karibu na wahindi?
Kuoga asubui ni poa.... Jion unajipaka sabuni unajisugua kidg alaf ndukiWote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku
Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga usiku tena ikitokea siku nimeoga usiku basi kesho Asubuhi nitajisikia uvivu kuoga tena
KWANINI NAOGA ASUBUHI?
Naoga Asubuhi kwasababu naamini ndio muda sahihi wa kutoa uchafu wote ikiwemo na seli za ngozi zilizokufa and other bodily fluids
Pia nakua fresh zaidi kuianza siku mpya
KWANINI SIOGI USIKU
Mwili wa mwanadamu bado huwa unazalisha harufu mbaya usiku na hukusanya wadudu na seli za ngozi zilizokufa. hivyo kama Ukioga usiku itakulazimu kuoga tena Asubuhi kitu ambacho ni Anasa na upotevu wa Maji
Kwako kipi Bora na Sahihi? Kuoga Usiku au Asubuhi? Uzi unawahusu Wanaume tu, Wanawake Najua ni muhimu kuoga mara 2 Kila siku
View attachment 2264661
Mfano mtu akila mchanganyiko wa mikaangizo, viungo vingivingi mapochopocho, nyamanyama hivi akijamba si unaona harufu yake....... sasa hiyo inabadilisha pia na harufu ya mwili pia.Vyakula gani ivyo mkuu Uhakika?