Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Huyu ni mm kabisa
Mkuu utakuwa unatoa harufu kama mzoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mm kabisa
Ushachunguza watu wanaopanda ndege mle ndani hakunaga harufu za ajabu kabisa
Panda daladala na mwendokasi uwiii sijui umaskin na kunuka una undugu
Mwiiiiiiiiiiizukuru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina umri wa baba yako
Hahahaaaausiku. sijawahi kuoga usiku halafu nisitake papuchi ya shemeji/wifi yenu.
Kula lazima kuoga hiyari. Nakumbuka boarding kipindi cha baridi watu tunakata mwezi hakuna kuoga. Ni kunawa tu.Kuoga hiyari,kula lazima
Hana Shida yoyote, ni Msafi anapenda Usafi na mie namsaidia kwenye Usafi huo, kiufupi tunasafishana kila siku.Duh!!! Ww mume wako anashida. Inabidi acheze na Maji muda wote na ma Sensodyne ya kutosha
Sababu wengi wanakua kwenye kipindi cha balehe, mie hua nawanunulia Deodorant ya Nivea tena ile for Men, nawanunulia Chupi na Bra na kuwataka wazitupe zile walizokuja nazo, na pedi kila mwezi.... Wengi walikua wanatumia vitambaa huko kwao na hawavianiki basi harufu ya uvundo,Wafanyakazi wa ndani waliopitia kwangu wengi wao harufu ya mwili ilikua haishi, hata aoge vipi, ajipake manukato vipi lakini harufu iko pale pale, haina tofauti na beberu la mbuzi. Na sio wao tu, watu weusi wengi wao huku nilipo wako hivyo. Sijui ni kwanini!!
Upo kama mie, nahisi kuwashwa kabisa hadi nioge,Mim nisipooga nasikia nawashwa mwili kama vitu vinatembea [emoji23][emoji23][emoji23] mnawezaje kutokuoga jamani
Mbona perfume ya kupima, eeh usafi ni kwa wote hata watoto wadogo wanatakiwa wafanyiwe usafi, unakuta kitoto kinanuka shombo la maziwa, yaan Mtu akimlisha au kumnyonyoshea Mtoto hamfuti kwa maji basi maziwa yanaganda na katoto hakaogeshwi siku nzima eti kisingizo baridi basi looh sio kwa shombo ile ya maziwa na mikojo.Maji ya moto asubuhi ,nimenyoosha nguo na perfume yangu ya kupima.Najisikia freesh kama cucumber.'Simu moja tu tukutane benki'
Tena Siku hizi ukiamka asubuh kuna upepo fulani hivi na baridi.......nakula passport ya nguvu na napulizia perfume yangu ya kupima toka mlimani city........Hapo nikiingia kwenye mwendokasi nanukia vizuri sana na watoto wa kike wote lazima wanigeukie mkaka anayenukia na perfume yake imejaa kwenye gar yoteMkuu utakuwa unatoa harufu kama mzoga
Samahani kdgo, ww ndio huyo hapo pichani?Sababu wengi wanakua kwenye kipindi cha balehe, mie hua nawanunulia Deodorant ya Nivea tena ile for Men, nawanunulia Chupi na Bra na kuwataka wazitume zile walizokuja nazo, na pedi kila mwezi.... Wengi walikua wanatumia vitambaa huko kwao na hawavianiki basi harufu ya uvundo,
Pia hakikisha chupi zinaanikwa nje kwenye kamba zipigwe na jua itasaidia pia kuona kama chupi zake zimeharibika apewe zingine.
Mdada wa Kazi akija kwangu wiki tu anabadilika na kua msafiiii, napenda nyumba na watu wake wanukie vizuri kwa kweli
Umeshindwa kukazaSamahani kdgo, ww ndio huyo hapo pichani?
Mwanaume unakuwaje msafi ivo izo element peleka Visiwani uko sisi uku Bara sio wachafu ila pia sio wasafi kwa kiasi icho unachotakaKatika vitu siwezi kuvumilia ni harufu mbaya halafu niko very sensitive yaan hata iweje nitaisikia tu,
Mtu ananuka Mdomo,
Mtu ananuka Makwapa,
Mtu ananuka Miguu,
Mtu anatoa Pumzi yenye harufu mbaya,
Siweziiii lazima nikwambie tu, ukichukia shauri yako, kikubwa ujumbe umefika na ukae mbali na mimi kama huwezi kurekebisha.
Sababu wengi wanakua kwenye kipindi cha balehe, mie hua nawanunulia Deodorant ya Nivea tena ile for Men, nawanunulia Chupi na Bra na kuwataka wazitupe zile walizokuja nazo, na pedi kila mwezi.... Wengi walikua wanatumia vitambaa huko kwao na hawavianiki basi harufu ya uvundo,
Pia hakikisha chupi zinaanikwa nje kwenye kamba zipigwe na jua itasaidia pia kuona kama chupi zake zimeharibika apewe zingine.
Mdada wa Kazi akija kwangu wiki tu anabadilika na kua msafiiii, napenda nyumba na watu wake wanukie vizuri kwa kweli
Umejisemea ukweli[emoji28][emoji28]Mm sipend kuoga
Nitatotesha mabawa yangu nishindwe kupeperukaOga bwana