Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

Katika vitu siwezi kuvumilia ni harufu mbaya halafu niko very sensitive yaan hata iweje nitaisikia tu,
Mtu ananuka Mdomo,
Mtu ananuka Makwapa,
Mtu ananuka Miguu,
Mtu anatoa Pumzi yenye harufu mbaya,

Siweziiii lazima nikwambie tu, ukichukia shauri yako, kikubwa ujumbe umefika na ukae mbali na mimi kama huwezi kurekebisha.
Duh!!! Ww mume wako anashida. Inabidi acheze na Maji muda wote na ma Sensodyne ya kutosha
 
usiku. sijawahi kuoga usiku halafu nisitake papuchi ya shemeji/wifi yenu.
 
Hakuna kiumbe kisichonuka, hasa hao wanajisema hawaogi wakiona ni sifa kumbe wanajidhalilisha tu,
Hata kuwe na baridi vipi kwanini usijisafishe walau kwa kujisponge tu,

Wanajidanganya na Manukato, sasa hayo Manukato yakutane na harufu ya mwili weeeh utatapika.

Wafanyakazi wa ndani waliopitia kwangu wengi wao harufu ya mwili ilikua haishi, hata aoge vipi, ajipake manukato vipi lakini harufu iko pale pale, haina tofauti na beberu la mbuzi. Na sio wao tu, watu weusi wengi wao huku nilipo wako hivyo. Sijui ni kwanini!!
 
Nakumbuka wakati nasoma Tukuyu-Mbeya nikiwa O-level........baridi la kule ni kama upo Ujerumani na wala sio mchezo wala utani.,.......Nina rekodi ya kufikisha mwezi 1 bila kuoga coz nilikuwa nipo kwenye principle yangu ya bila kutoa jasho siwezi kuoga

Ila baada ya mwezi kuisha ndo nikalazimisha niende nikafanye mazoezi makali sana ili nitoe jasho na nikauombe radhi huu mwili

Halafu issue ya kuoga kwangu haijawahi kuwa priority kama Taifa inabidi tuanze kufikiria mambo ya msingi na sio kuoga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika vitu siwezi kuvumilia ni harufu mbaya halafu niko very sensitive yaan hata iweje nitaisikia tu,
Mtu ananuka Mdomo,
Mtu ananuka Makwapa,
Mtu ananuka Miguu,
Mtu anatoa Pumzi yenye harufu mbaya,

Siweziiii lazima nikwambie tu, ukichukia shauri yako, kikubwa ujumbe umefika na ukae mbali na mimi kama huwezi kurekebisha.

Yaan umesoma comment utacheka mno watu hawapendi kuoga
Wanaume mnaooga mara mbili kwa siku mbarikiweee maana huwa mnanukia vizurii sana
Wale ambao hamuogi sipati picha madem zao
 
Wafanyakazi wa ndani waliopitia kwangu wengi wao harufu ya mwili ilikua haishi, hata aoge vipi, ajipake manukato vipi lakini harufu iko pale pale, haina tofauti na beberu la mbuzi. Na sio wao tu, watu weusi wengi wao huku nilipo wako hivyo. Sijui ni kwanini!!

Baada ya muda harufu huisha lakin ukimnunulia deodorant na akaoga mara tatu kwa siku na na ajisugue na limao makwapani
 
Back
Top Bottom