Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
We ni jinsia gani ?Sasa kama maji yapo kwanini nisioge hata mara sita kwa siku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni jinsia gani ?Sasa kama maji yapo kwanini nisioge hata mara sita kwa siku...
Du wewe kweli mhehe ukiwa mfifu [emoji23][emoji23]Kwahiyo nyumba huko, hazifungwi Air conditioner, na mafeni yapo, na kuoga kama kawaida Dar mzima hakuna baridi ya kumzuia mtu kuoga.
Mafinga kuna kipindi ukiwa mfifu, unaweza kaa wiki mzima, bila kuoga na usinuke. Lakini hivyo tulikua tunachemsha maji tunaoga.
Dar ukipanda daladala unakutana na wanaume wananuka uvundo, sijui ndo fangasi na meaoga siku hiyo.
Usiku tu inatosha, na inategemea na hali ya hewaWote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe uoge Asubuhi au Usiku
Binafsi napenda kuoga Asubuhi mara nyingi, ni mara chache sana naweza kuoga usiku tena ikitokea siku nimeoga usiku basi kesho Asubuhi nitajisikia uvivu kuoga tena
KWANINI NAOGA ASUBUHI?
Naoga Asubuhi kwasababu naamini ndio muda sahihi wa kutoa uchafu wote ikiwemo na seli za ngozi zilizokufa and other bodily fluids
Pia nakua fresh zaidi kuianza siku mpya
KWANINI SIOGI USIKU
Mwili wa mwanadamu bado huwa unazalisha harufu mbaya usiku na hukusanya wadudu na seli za ngozi zilizokufa. hivyo kama Ukioga usiku itakulazimu kuoga tena Asubuhi kitu ambacho ni Anasa na upotevu wa Maji
Kwako kipi Bora na Sahihi? Kuoga Usiku au Asubuhi? Uzi unawahusu Wanaume tu, Wanawake Najua ni muhimu kuoga mara 2 Kila siku
View attachment 2264661
Si unaoga maji ya motoDah mimi nimekata wiki ya pili hapa nafikiri sijui nioge kesho! Mana Si kwa baridi hili.
SafiKwangu swala kuoga, halina ni kila mwili unapohitaji.
mfano: Nimeoga alfajiri, nikaenda kufanya mazoezi nikirudi naoga. Nikirudi nyumbani toka kwenye shuguri za kiuchumi, nitaoga, yaani kuoga kwangu hakuna ratiba.
[emoji23][emoji23]Sio dar tu,,,waafrika wengi wananuka mwili
Umetisha sana Mkurugenzi, umenikumbusha nilivyokuwa Boarding Uganda, Kuna mTz mwenzetu huyo jamaa alikaa mwezi mzima hajagusa Maji, Ukiachana na baridi la kule kuwa kali kipindi hicho lakn pia Maji yalikuwa ni yakuyapangia foleniNakumbuka wakati nasoma Tukuyu-Mbeya nikiwa O-level........baridi la kule ni kama upo Ujerumani na wala sio mchezo wala utani.,.......Nina rekodi ya kufikisha mwezi 1 bila kuoga coz nilikuwa nipo kwenye principle yangu ya bila kutoa jasho siwezi kuoga
Ila baada ya mwezi kuisha ndo nikalazimisha niende nikafanye mazoezi makali sana ili nitoe jasho na nikauombe radhi huu mwili
Halafu issue ya kuoga kwangu haijawahi kuwa priority kama Taifa inabidi tuanze kufikiria mambo ya msingi na sio kuoga
Mimi siogagi kabisa mara moja kwa wiki
Umetisha sana Mkurugenzi, umenikumbusha nilivyokuwa Boarding Uganda, Kuna mTz mwenzetu huyo jamaa alikaa mwezi mzima hajagusa Maji, Ukiachana na baridi la kule kuwa kali kipindi hicho lakn pia Maji yalikuwa ni yakuyapangia foleni
Sasa jamaa alikuwa anashangaa watu eti baridi hili lote Bado nipoteze muda kupanga foleni ndefu kuchota Maji? Akaona haiwezekani, Sasa bhana utamaduni wa kule ukienda chooni unaenda na tissue paper.
Sasa kuna kademu kalikokuwa kanakaa nae dawati moja darasani akaenda kumshtaki kwa dada zetu wa Tz walikuwa Form 6, kikao kikaitishwa Watanzania wote tukutane nyuma ya kanteen, tukaanza kusemwa "jamani eeh mjitahidi kuoga mnatoa harufu mbaya watu wanalalamika hasa wewe H"
Mwamba H toka siku Ile hakuna siku alimisi kuoga, mm niliendelea na utaratibu wangu, nikioga Leo kesho siogi Hadi kesho kutwa hvyo hvyo
Huyu ni mm kabisaUmetisha sana Mkurugenzi, umenikumbusha nilivyokuwa Boarding Uganda, Kuna mTz mwenzetu huyo jamaa alikaa mwezi mzima hajagusa Maji, Ukiachana na baridi la kule kuwa kali kipindi hicho lakn pia Maji yalikuwa ni yakuyapangia foleni
Sasa jamaa alikuwa anashangaa watu eti baridi hili lote Bado nipoteze muda kupanga foleni ndefu kuchota Maji? Akaona haiwezekani, Sasa bhana utamaduni wa kule ukienda chooni unaenda na tissue paper.
Sasa kuna kademu kalikokuwa kanakaa nae dawati moja darasani akaenda kumshtaki kwa dada zetu wa Tz walikuwa Form 6, kikao kikaitishwa Watanzania wote tukutane nyuma ya kanteen, tukaanza kusemwa "jamani eeh mjitahidi kuoga mnatoa harufu mbaya watu wanalalamika hasa wewe H"
Mwamba H toka siku Ile hakuna siku alimisi kuoga, mm niliendelea na utaratibu wangu, nikioga Leo kesho siogi Hadi kesho kutwa hvyo hvyo
Hakuna kiumbe kisichonuka, hasa hao wanajisema hawaogi wakiona ni sifa kumbe wanajidhalilisha tu,Sio dar tu,,,waafrika wengi wananuka mwili