Kipi bora: Kuoga Usiku au Asubuhi?

kuna watu wasipooga hata masaa 6 tu harufu yake mzoga wa paka ukasome
 
Kula lazima kuoga hiyari. Nakumbuka boarding kipindi cha baridi watu tunakata mwezi hakuna kuoga. Ni kunawa tu.
Boarding mi ilikuwaga kuoga ni wastani mara tatu []kwa wiki...... ilionekana nipo kundi la wanaopenda kuogaoga.

Kawaida ya wengi ilikuwaga mara moja ikizidi sana mara mbili tu kwa wiki haswa weekend, haswaaaaa jumapili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiwa sehemu zenye baridi Kama huku ARUSHA kuoga kipindi Kama hiki ni mtihani...ila sisi tuanoendesha German cars kuoga Lazima hata zaidi ya mara mbili kwa siku Kama umepata safari za kwenda home
 
Kula lazima, kuoga hiyari.
Huu wimbo kuna mwamba fulani boarding huko alienda bimbani akakinga maji yake freshi kaenda nayo bafunii kavua kibukta ile kuyatest na mkono kaona ya baridi mnooo!!

Aaaaah, hapendi ujinga, usintanie kaahirisha hapohapo ghafla na maji na ndoo kaacha hapohapo, ni taulo begani kasepa!

Sasa wakati anaondoka ndo akawa anaimba kwa sauti zote kula lazimaaaaa..... kuoga hiyariiiiii🎢
 
[emoji1787][emoji1787] utakuwa una undugu na paka.
 
Kuoga asubui ni poa.... Jion unajipaka sabuni unajisugua kidg alaf nduki
 
Mkuu na mihangaiko ile na β€˜Mzee! na zile trip huogagi usiku kumbe?!
 
Vyakula gani ivyo mkuu Uhakika?
Mfano mtu akila mchanganyiko wa mikaangizo, viungo vingivingi mapochopocho, nyamanyama hivi akijamba si unaona harufu yake....... sasa hiyo inabadilisha pia na harufu ya mwili pia.

Lakini pia mlo wake ukiwa matunda mbogamboga mananasi harufu ya kila kitu kikutokacho [jumuisha harufu] haiwi kali. Tena inakuwa tamu. Kuna wanawake waliulizwa harufu mbalimbali za wapenzi wao, wanaume vegetarian walipewa maksi nzuri

USHAHIDI: Harufu ya vimtokavyo ng'ombe, kinyesi na jumla VS harufu simtokazo nguruwe. Au mbwa VS mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…