tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
Je kama anatumiwa flash sms?
Discpline inajengwa kwa kukagua simu?simu lazima ikaguliwe...na kikiongezeka chochote kwenye simu yake/zake lazima ujue...
hii inajenga discpline kwa mwenzio!
Hii ni surveillance, cm zangu haziguswi n vice versa, maisha matamu full kuaminianaunajua katika mapenzi lazima kuwe na openness so wewe pekuwa tuu kwani ni bora ujuwe unaibia mapema kuliko kuwa mjinga f
kwa muda mwingi....mapenzi yenyewe ya siku hizi usanii mtupu!!!!
Swali la kujiuliza:kwa nini unakagua...humwamini? na kama humwamini kwa nini uendelee kuishi nae...? utasema unampenda...ndo mapenzi gani hayo ya kutoaminiana!??
Yeah,,,,unamjengea mwenzi wako nidhamu ya uoga. Hawezi fanya mambo ya ajabu ajabu. Hata akifanya lazima ataplay smart.Discpline inajengwa kwa kukagua simu?
Hiyo ni discpline au ni unafiki?Yeah,,,,unamjengea mwenzi wako nidhamu ya uoga. Hawezi fanya mambo ya ajabu ajabu. Hata akifanya lazima ataplay smart.
Nafurahigi sana kuona my friends wanahakikisha wanadelete sms zote na kuclear calls zote kabla ya kwenda hom. Huoni hii ni discpline?