Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

Joined
Apr 7, 2023
Posts
6
Reaction score
6
Habarin ndugu Wana JF.

Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana.

Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi.

Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf ungefanyaje? iliutimize malengo na ndoto zako?

Naombeni ushauri WanaJF mimi kama mhitimu wa 1st degree sina kazi mtaani na hii ndio imenikuta.
 
Chukua mtaji kakomae kariakoo
 
Kam ni graduate serikali I mshahara wa kuanza nao ni 716,000.
Mshahara wa graduates kwa walimu ni TGTS D
Screenshot_20230505-064059_Chrome.jpg
 
All of the above are correct, kawe ticha tu.
 
Habarin ndugu Wana JF.

Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana.

Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi.

Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf ungefanyaje? iliutimize malengo na ndoto zako?

Naombeni ushauri WanaJF mimi kama mhitimu wa 1st degree sina kazi mtaani na hii ndio imenikuta.
Mwalimu halipwi laki tatu!
 
Hujaeleza vizuri kama hiyo ajira itakuwa ni temporary au permanently, Sasa kama hiyo ajira ni kwa muda tu basi ni Bora uchukue hiyo hela ukatafute utaratibu mwingine wa kuikuza kuliko kukaa hapo kusubiri hizo laki tatu zitakucheleweshaa.
 
Back
Top Bottom