Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

Kipi bora kwa graduates kati ya mtaji wa milioni 4 au kuwa mwalimu wa primary mshahara wa Tsh. 300,000

Nenda ualimu afu uchukue mkopo ufanye huo uwekezaji mwngn unaoutaka
 
Chukua milioni 4 chap ufanye yako maisha yenyewe mafupi haya".

Alisikika Mwenyekiti wa "chukua chako mapema" (CCM) 🙏🙏
 
DDu
Mshahara wa laki 3 nitakopa milioni 10.Nitafanya biashara
So ndege wawili, ajira maalumu kwa ajili ya kukopea na uhakika wa mtaji.
Du! Apa mkuu umenifungua kiakil kamapele asee.

Namshukur San nitarifanyiakazi maan naona wazo limekaa poa Sana.
Namshukur San.
 
Habarin ndugu Wana JF.

Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana.

Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi.

Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf ungefanyaje? iliutimize malengo na ndoto zako?

Naombeni ushauri WanaJF mimi kama mhitimu wa 1st degree sina kazi mtaani na hii ndio imenikuta.
Tafuta kazi kwenye mitandao na pia nakushauri anza kwanza kwa kujitolea
 
DDu

Du! Apa mkuu umenifungua kiakil kamapele asee.

Namshukur San nitarifanyiakazi maan naona wazo limekaa poa Sana.
Namshukur San.
Yani anakushauri kukopa unashangilia😂 Kama utalipwa laki 3 kwa mwaka utakuwa utakuwa na uwezo wakukusanya Milioni 3+ it means ndani ya mwaka na miezi kadhaa utakuwa na hiyo M4 bila matumizi yeyote. Ukichukua M4 uwe na malengo na njia inayoweza kukuingizia faida angalau 50,000 perday ambayo utatoa nahitaji yako yote na Kodi na kusave 10k perday kwa mwezi utakuwa na 300k unayosave chini ya hapo vyote itategemea na wewe umejipangaje na chance ya hela inaweza isipatikane Tena lakini AJIRA unaweza kupata one day
 
Habarin ndugu Wana JF.

Nimekaa nikafikiria sana kati ya pande hizi mbili zinazokinzana.

Hivi nikipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa mhitimu wa elimu ya juu ambaye hana Ramani yeyote maisha lakini ndoto zake ni kuwa mkubwa kiuchumi.

Mara ghafra tuu ikatokea hii option. Je wewe kama mwanaJf ungefanyaje? iliutimize malengo na ndoto zako?

Naombeni ushauri WanaJF mimi kama mhitimu wa 1st degree sina kazi mtaani na hii ndio imenikuta.
Nisaidie bei ya nafaka bora hapo geita jamii ya mpunga kwa kg...
 
Chukua M4 kila siku weka odds 1.10 uhakika,unapata 400K faida
 
Back
Top Bottom