Zirconium
Senior Member
- Feb 1, 2025
- 196
- 254
Kukuza watoto wako wawe kama Winga / mshambuliaji inaweza kuwa biashara yenye mashaka . Ukikuza kuwa mabeki ( fullbacks ) ambao watatoa 7/10 kila wiki uwanjani . Hawa ndyo watadumu kwenye timu moja kwa miaka 10 na zaidi.
Watoto wangu watakuwa na picha za kina Mohammed Hussein( Zimbwe Jr ) , Shomari Kapombe, Paulo Maldini , phill Nevile , Sergio Ramos , Marcello, na Cesar Azpiliqueta kwenye kuta za chumba chao!.
Watoto wangu watakuwa na picha za kina Mohammed Hussein( Zimbwe Jr ) , Shomari Kapombe, Paulo Maldini , phill Nevile , Sergio Ramos , Marcello, na Cesar Azpiliqueta kwenye kuta za chumba chao!.