KIPI BORA KWENYE MAHUSIANO

KIPI BORA KWENYE MAHUSIANO

blessed chiqqah

Senior Member
Joined
May 19, 2024
Posts
105
Reaction score
291
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema

niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano
kwenu wanaume kipi bora
kumuambia ukweli mwanamke lengo lako au kumdanganya kuwa utamuoa hata kama huna mpango huo?

na kwenu nyie wanawake wenzangu kipi bora
mwanaume akudanganye wakati anakutongoza au akuambie ukweli ufanye uamuzi mwenyewe?

naombeni mawazo yenu
 
Hakuna mwanamke atakukubali kwakumwambi unataka umuoe, ndoa ni tokeo baada ya kupendana tiali, hisia kujengeka na mimba nk ila stranger tu unatongoza nitaka kukuoa not work
 
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema

niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano
kwenu wanaume kipi bora
kumuambia ukweli mwanamke lengo lako au kumdanganya kuwa utamuoa hata kama huna mpango huo?

na kwenu nyie wanawake wenzangu kipi bora
mwanaume akudanganye wakati anakutongoza au akuambie ukweli ufanye uamuzi mwenyewe?

naombeni mawazo yenu
Mapenzi hayanogi bila kudanganyana, ingekuwa kama ni kutaka kuoana hapo ningeshauri muambizane ukweli tu!!
 
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema

niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano
kwenu wanaume kipi bora
kumuambia ukweli mwanamke lengo lako au kumdanganya kuwa utamuoa hata kama huna mpango huo?

na kwenu nyie wanawake wenzangu kipi bora
mwanaume akudanganye wakati anakutongoza au akuambie ukweli ufanye uamuzi mwenyewe?

naombeni mawazo yenu
Kumwambia ukweli alafu na kumuowa
 
Back
Top Bottom