blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 105
- 291
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema
niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano
kwenu wanaume kipi bora
kumuambia ukweli mwanamke lengo lako au kumdanganya kuwa utamuoa hata kama huna mpango huo?
na kwenu nyie wanawake wenzangu kipi bora
mwanaume akudanganye wakati anakutongoza au akuambie ukweli ufanye uamuzi mwenyewe?
naombeni mawazo yenu