Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Serious ?Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda.
Kuwa na nyumba ni mafanikio makubwa mkuu kwa majority. I can't wait nipaue pagale langu nitahamia hivyo hivyo utajiri nimeshachelewa.Serious ?
Mafanikio ya sisi Watanzania hasa kundi kubwa la vijana.
Kijinyumba cha vyumba 3-4, kijigari, familia kazi kwisha.
Nafikiri IQ inaamua hivi tulivyo.
AiseeNioe nigundue nn
Ugundue kuwa kuchapiwa ni siri ya ndaniNioe nigundue nn
Anza na Mungu dogo.......