Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

download (4).jpeg
 
Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.

Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.

Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?​
Sasa si inategemea na kazi yenyewe. Kazi nyingine huo mshahar hata hela ya kula mbinde
 
Serious ?

Mafanikio ya sisi Watanzania hasa kundi kubwa la vijana.

Kijinyumba cha vyumba 3-4, kijigari, familia kazi kwisha.

Nafikiri IQ inaamua hivi tulivyo.
Wapo waliofikiri mbali zaidi yako pia hawakufanya lolote hadi wameenda mbele za haki, maisha yana mafumbo mengi sana..

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom