Ukishanunua gari biashara huanza dumaa1.BIASHARA
2.GARI
3.NYUMBA
4.MTOTO
5.KUOA.
-gharama ya kuhudumia gari
- starehe zinazo associate na uwepo wa gari hasa safari zisizo na msingi na wanawake
-kupungua Kwa muda wa usimamizi wa biashara
-Gari kibongo bongo inakuathiri kisaikolojia Kwa kuanza kujiona umefanikiwa hivyo unaanza jiweka kundi flani la kiuchumi usilo stahili, unakuta ulikuwa na kakiwanja chako mbagala kabla hujanunua gari, ukishanunua gari unaanza kujisemea sijengi Kule mbali ACHA nijipange nije ninunue maeneo ya karibu Ili nikijenga nisave mafuta hapo unajikuta umeganda ukijastuka umri unaona umeenda badala ya kujenga Sasa unaanza kuwaza kuoa huku unawatoto kama wawili nje