Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

Kipi cha kuanza pindi unapopata ajira: Kuoa, nyumba, biashara au gari?

1.BIASHARA
2.GARI
3.NYUMBA
4.MTOTO
5.KUOA.
Ukishanunua gari biashara huanza dumaa
-gharama ya kuhudumia gari
- starehe zinazo associate na uwepo wa gari hasa safari zisizo na msingi na wanawake
-kupungua Kwa muda wa usimamizi wa biashara
-Gari kibongo bongo inakuathiri kisaikolojia Kwa kuanza kujiona umefanikiwa hivyo unaanza jiweka kundi flani la kiuchumi usilo stahili, unakuta ulikuwa na kakiwanja chako mbagala kabla hujanunua gari, ukishanunua gari unaanza kujisemea sijengi Kule mbali ACHA nijipange nije ninunue maeneo ya karibu Ili nikijenga nisave mafuta hapo unajikuta umeganda ukijastuka umri unaona umeenda badala ya kujenga Sasa unaanza kuwaza kuoa huku unawatoto kama wawili nje
 
Ukipata ajira cha kwanza kabisa
mudu mahitaji yako basic
Kula,kuvaa na kulala bila kumtegemea mtu yoyote awe bosi wako au mwingine yule awe, namaanisha yani ajira ikikoma utasustain basic necessities za maisha yako...kama yes OA
 
Ukishanunua gari biashara huanza dumaa
-gharama ya kuhudumia gari
- starehe zinazo associate na uwepo wa gari hasa safari zisizo na msingi na wanawake
-kupungua Kwa muda wa usimamizi wa biashara
-Gari kibongo bongo inakuathiri kisaikolojia Kwa kuanza kujiona umefanikiwa hivyo unaanza jiweka kundi flani la kiuchumi usilo stahili, unakuta ulikuwa na kakiwanja chako mbagala kabla hujanunua gari, ukishanunua gari unaanza kujisemea sijengi Kule mbali ACHA nijipange nije ninunue maeneo ya karibu Ili nikijenga nisave mafuta hapo unajikuta umeganda ukijastuka umri unaona umeenda badala ya kujenga Sasa unaanza kuwaza kuoa huku unawatoto kama wawili nje
Kwa mujibu wa maelezo yako, huo ni udhaifu binafsi na mipango mibovu.
 
Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.

Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.

Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?​
Cha kwanza kabisa, anza kwa kuweka akiba na malengo
 
Back
Top Bottom