Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Ni makazi then ndoa....!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
🤣🤣👍Chukua chuma wewe acha ujinga. Nyumba zipo nyingi utapanga. Wanawake wapo wengi utapata pakupumzikia.
Bado ni swali, nafikiri umeshajibu.Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Nimetoa maelezo tu kidogo kwa namna ninavyofahamuBado ni swali, nafikiri umeshajibu.
Usizini:Chukua chuma wewe acha ujinga. Nyumba zipo nyingi utapanga. Wanawake wapo wengi utapata pakupumzikia.
[emoji16][emoji16]Bora uanze na vingine vyote hivyo, ndoa iwe ya mwisho.
Ndoa ikianza unaweza usivipate vingine vyote.
Hasa kama umeoa chuma ulete ama mjinga
Nakupa vile nimexperience mkuu....Safii...Ni wewe peke yako umeandika kitu nilokua nasubiri. Thanks
Uko sahihi sana mkuu. Binafsi Gari ni kitu cha kwanza,na ninanunua viwanja na kuviacha..Katika makosa sikutaka kuyafanya ni katika KUJENGA.
Ukipata kazi alafu ukawa na akili ya kukimbilia NYUMBA basi hakika utajenga KIBANDA na si NYUMBA.
nyumba inategemea eneo, kwa haraka haraka hapa DSM eneo zuri kbs uwe na m10+ ya ARDHI pekee. hiyo hela kwa watu wengine tyr kashanunua kiwanja na kajenga KIBANDA (yeye anaita nyumba).
Kujenga NYUMBA ni mtihani sana sio jambo la kukurupuka tu.
Gari ni muhumu sana, na mm nilianza na GARI kwanza, nikaongeza ya pili huku nikiwekeza katika VIWANJA maeneo tofauti tofauti navipiga fensi natulia.
Baadae ndio nikaanza projects za ufugaji ktk kiwanja kimojawapo.
Then ikafata kujenga nyumba ya kwanza ikafata ya pili. Na cha kuchekesha siishi ktk hizo nyumba napanga. Maana nilihamishwa ktk Mkoa mwingine.
So in conclusion kujenga baada ya kupata kazi (immediately) si vizuri.. utajenga KIBANDA na si NYUMBA.
Tunafikiri sawa mkuu👍🏽 Mawazo yangu haya pia!Mkuu umeuliza kitu kizuri sanaa.. Binafsi baada ya kuajiriwa nilikosea na kujifunza kwamba kuna mambo yanatakiwa uyape kipaumbele kama hujafikia/ kutimiza.
1. Kuwa na makazi. Kama upo single unaweza kujenga ndani ya mwaka mmoja hadi miwili. Hatakama hujamaliza kujenga utakua umefikia umefika hatua flani NB: uwe na lengo moja tu lakujenga.
2. Kuwa na biashara ambayo unauzoefu nayo au unaijua NB: fanya unachokipenda pia nashauri biashara inayoweza kukupa senti kila siku.
NB: Biashara inataka moyo mgumu. Kama uwezi wekeza vingne.
3.Kuoa. Hapa sina comment sana, ila omba mungu akupe mke mwema. Mimi baada ya kuoa mke kila kitu kilivurugika, mke alienda kutoa vitu vya ofini alivunja had kufuri mzee. Omba yasikukute hayo
4. Usafiri. Hii Muhimu sanaa mkuu.. ata kama huna rout nyingi ila kuwanayo muhimu. Unaweza kuwa na pikipiki au Gari (Baiskel iwe kwa ajili ya watoto)
5.Kipaumbele chako. Hii ni uamuzi wako kama unaongeza nyumba au biashara nk
Kosa kubwa utakalo fanya ni kuoa aseeee usije ukaoa kabisa hapa Tanzania utajuta.Kuoa na kupata familia ni muhimu na umri unakwenda. Gari muhimu linarahisisha usafiri na maisha pia linakupa hadhi fulani.
Nyumba inakupa makazi ila huwa haiishi. Biashara inakupa fedha ya ziada nje ya mshahara hivyo ni rahisi kupata nyumba na gari baada ya biashara.
Ni kipi cha kukipa kipaumbele ukiwa muajiriwa?
Lakini wengine ni balaaSafii...Ni wewe peke yako umeandika kitu nilokua nasubiri. Thanks
Uko sahihiChukua chuma wewe acha ujinga. Nyumba zipo nyingi utapanga. Wanawake wapo wengi utapata pakupumzikia.
Inategemea na kipato chako, wengine tulianza kujenga na ni nyumba sio kijumba.Katika makosa sikutaka kuyafanya ni katika KUJENGA.
Ukipata kazi alafu ukawa na akili ya kukimbilia NYUMBA basi hakika utajenga KIBANDA na si NYUMBA.
nyumba inategemea eneo, kwa haraka haraka hapa DSM eneo zuri kbs uwe na m10+ ya ARDHI pekee. hiyo hela kwa watu wengine tyr kashanunua kiwanja na kajenga KIBANDA (yeye anaita nyumba).
Kujenga NYUMBA ni mtihani sana sio jambo la kukurupuka tu.
Gari ni muhumu sana, na mm nilianza na GARI kwanza, nikaongeza ya pili huku nikiwekeza katika VIWANJA maeneo tofauti tofauti navipiga fensi natulia.
Baadae ndio nikaanza projects za ufugaji ktk kiwanja kimojawapo.
Then ikafata kujenga nyumba ya kwanza ikafata ya pili. Na cha kuchekesha siishi ktk hizo nyumba napanga. Maana nilihamishwa ktk Mkoa mwingine.
So in conclusion kujenga baada ya kupata kazi (immediately) si vizuri.. utajenga KIBANDA na si NYUMBA.
Sio inategemea na unaye oa ?Kosa kubwa utakalo fanya ni kuoa aseeee usije ukaoa kabisa hapa Tanzania utajuta.