Kipi chakula chako pendwa?

Kipi chakula chako pendwa?

Wali nazi na samaki mmbichi pelege asikaangwe wa nazi tupia na mchicha kidogo. Ooohh utaniuwa. Tena nile mchana jua lawaka.
 
Back
Top Bottom