Kipi chuo kikuu bora Tanzania?


Yaani nimegundua hauko sawa kabisa! hilo tangazo umeliona wapi tangazo ambalo lina maneno yenye red hapo? huku jamii forum ingekuwa watu wanapimwa IQ ndo wawe member ingekuwa bora sana..
 
km kawa UDSM itabaki chuo bora hapa tz na hata nyanja za kimataifa ktk koz mbali2 zitolewazo kw ku2mia wakufunzi wa utalamu wa juu
 
Chuo bora ni chuo cha uchukuzi pale mabibo
 
UDSM na OPEN, ww angalia hata kwenye ranking za vyoo vikuu pia competence kwa wahitimu bila shaka utakubali
 
Agumentum adbakulum,nilifiri mtu anaesoma chuo kikuu ana uwezo mkubwa sana wakufikiri kumbe sivyo wasomi wengi wanakuwa na hasty genearization ni vema kumshauri mtu ukawa accurate evidence sio unatoa wazo lolote lisilokuwa na ushaidi kisa umesikia,kwa tanzania hakuna chuo kizuri wasomi wale wale copy and paste G.P.A za kizembe watu wanapeana uzuri wa chuo ni kichwa chako inategemea we upo vp?tafiti zinaonesha kati ya wanafunzi wanaosoma masters UDSM wanafunzi wa TUMAIN,UDOM,MZUMBE,SUA ndio wanafanya good presentation.
 
km kawa UDSM itabaki chuo bora hapa tz na hata nyanja za kimataifa ktk koz mbali2 zitolewazo kw ku2mia wakufunzi wa utalamu wa juu
kweli umesoma udsm......hata uandishi wako uko shalo kama udsm...
 
Dogo huwajui necta eeehh....subir matokeo yatoke,we post habr za vyuo bora afu baada ya matokeo 2ckuckie huku kisa necta wabaya,,,,be patient
:smile-big:
 
wambie wamekalili eti udsm kila siku hawajui kuwa udsm imeisha kilichobaki pale ni kusema chuo kikongwe tanzania lakini sio bora
 
Ngoja nikushauri mdog wangu. Nenda KIU hiki chuo kÍzuri sÀna hapa Tanzania. Nasema iv kwa sababu kwenye interview nlishnda mm uko S/ africa.
KwÀ sbb yÀ jina la chuo na uwezo bnafsi
 
Stella Maris Mtwara University college
www.stemmuco.ac.tz
 
mjomba tcu wapo kwa ajili yako, ila utajaribu kuweka udsm kwa eng. sua kwa kilimo,muhimbili afya. siku nyingine sema umesoma comb ip hiyo ndio nidham.
 
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?


Bila unafki JF ni chuo bora zaidi kwani ina wanafunzi wengi mno na faculty nyingi, pia ina madaktari, maprofesa, mawaziri kama kina MziziMkavu, wabunge tusio na posho tupo hapa tu kwa ajili ya kuamasisha wananchi. Na ukimaliza chuo, unapata kazi kupitia mtandao wa marafiki kutoka JF, yaani mambo yote ni hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?



Kwa faida ya wengi, napenda kuorodhesha vyuo na madaraja ambayo yanapangwa sana katika vyuo hivyo kupitia TCU na sio PRIVATE;

1. UDSM (div 1.3 - div 2.12)
2. ARU (div 1.3 - div 2.12)
3. MUHAS, KCMC (div 1.3 - div 2.10)
4. MZUMBE (div 1.3 - div 3.15)
5. SUA (div 1.7 - div 3.15)
........................................

Chini ya hivi vitano (5), vinaanza vyuo visivyo na ushindani na vyenye ubora wa kawaida, kama vile;

6. UDOM (div 2.12 - div 3.17)
7. SAUT (div 3.15 - div 4.19) etc.

Naamini hapa unaweza kupata picha ya daraja lako na chuo unachoweza kupata, ubora wa chuo unaweza kupimwa na wanaoomba kusoma katika chuo husika, kama wana ubora basi chuo kinakuwa bora, tafadhali sana zingatieni hizo alama, zinamsaada sana kwenye kupima ubora na udhaifu wa vyuo hapa nchini.

NB: CHUO BORA AU DHAIFU HAKIHUSIKI NA CHOCHOTE KATIKA MFUMO WA AJIRA WA HIVI SASA, KINACHOHUSIKA NI UNAMJUA NANI HAPO OFISI, MENGINE ZAIDI YA HILI NDIO YANAFUATA. Source: Mimi mwenyewe mdau.
 
Kamaaa una takaaa kudico nendaa sua hakuna usharobaroooo palee watu wanapiga kaziiiiiii kwenda mbeleeee
 
Stella Maris Mtwara University College (Tawi la Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agustino - Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…