Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
Jaman ndugu zangu wana Jf. Mie nilifanya mtiani wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)! xaxa nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha kwamba mwf. achague program zizizozozidi 5 na zisipungue 3! sasa je, inakubalika kujaza vyuo 5 af prog. 1 @ chuo? au ni mbili mbili then moja kwa vyuo vitatu? Au ni prg. 3 then 2 kwa vyuo 2?? Mie apo xielewi vizuli! ila mie nimeandaa vyuo 4 ambapo chuo 1 kina prg. 2 af ivyo vingine 3 ni program mojamoja !!!! Af swali lingine ni je,, inakubalika kujaza prg. moja kwa vyuo vyote ulivyochagua? yan prg. moja irudiwe kwa kila chuo au zinatakiwa ziwe tofauti? nielewesheni jamani ili nikajaze form yangu ya TCU vizuli.
Kwa faida ya wengi, napenda kuorodhesha vyuo na madaraja ambayo yanapangwa sana katika vyuo hivyo kupitia TCU na sio PRIVATE;
1. UDSM (div 1.3 - div 2.12)
2. ARU (div 1.3 - div 2.12)
3. MUHAS, KCMC (div 1.3 - div 2.10)
4. MZUMBE (div 1.3 - div 3.15)
5. SUA (div 1.7 - div 3.15)
........................................
Chini ya hivi vitano (5), vinaanza vyuo visivyo na ushindani na vyenye ubora wa kawaida, kama vile;
6. UDOM (div 2.12 - div 3.17)
7. SAUT (div 3.15 - div 4.19) etc.
Naamini hapa unaweza kupata picha ya daraja lako na chuo unachoweza kupata, ubora wa chuo unaweza kupimwa na wanaoomba kusoma katika chuo husika, kama wana ubora basi chuo kinakuwa bora, tafadhali sana zingatieni hizo alama, zinamsaada sana kwenye kupima ubora na udhaifu wa vyuo hapa nchini.
NB: CHUO BORA AU DHAIFU HAKIHUSIKI NA CHOCHOTE KATIKA MFUMO WA AJIRA WA HIVI SASA, KINACHOHUSIKA NI UNAMJUA NANI HAPO OFISI, MENGINE ZAIDI YA HILI NDIO YANAFUATA. Source: Mimi mwenyewe mdau.