Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

Aliniambia eti ni yale Makatambuga yale maviatu ya matairi ya gari wanayovaa ndo yanahusiano na matatizo ya macho .

Na nilipoenda kijijini baba alinikataza kabisa kuyavaa kasema ukivaa kwa mda mrefu yale matairi yana uhusiano sasa kila nikijaribu kurelate naona haingii akilini kabisa.

Ebu jaribu kurelate hapa
Mzee wako alikudanganya.
 
Vip wewe mambo ya kuulizia ndevu za wanaume wenzako unatafuta bwana?
 
Aliniambia eti ni yale Makatambuga yale maviatu ya matairi ya gari wanayovaa ndo yanahusiano na matatizo ya macho .

Na nilipoenda kijijini baba alinikataza kabisa kuyavaa kasema ukivaa kwa mda mrefu yale matairi yana uhusiano sasa kila nikijaribu kurelate naona haingii akilini kabisa.

Ebu jaribu kurelate hapa

Sio kweli bhana!!
 
Wakorea na wachina asilimia 90% hawana ndevu imekaaje hii!??
 
Kumbe !!

Vip kuhusu ulemavu wa macho maan wazee wengi ni chongo ? nilikuja kumuuliza baba ila jibu nilipewa nilishangaa.Baba kazliwa na kukulia kwa wamasai na wapare anawajua mwanzo mwisho ila jibu alinipa nilishangaa sana.
Sasa ulishangaa af husemi....we kiazi sana aisee
 
Kuna aina kama nne za wafrika
1) bantu
2) nilote.( Lake nilote and plain nilote)
3)kushite
4)................( Nimesahau)
Kila moja Ina tabia zake!!
Kuna wenye nywele nyingi,Kuna wenye hasira,Kuna wataalamu wa kulipa kisasi!! Nk
 
Back
Top Bottom