Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

Mzee wako alikudanganya.
 
Vip wewe mambo ya kuulizia ndevu za wanaume wenzako unatafuta bwana?
 

Sio kweli bhana!!
 
Wakorea na wachina asilimia 90% hawana ndevu imekaaje hii!??
 
Kumbe !!

Vip kuhusu ulemavu wa macho maan wazee wengi ni chongo ? nilikuja kumuuliza baba ila jibu nilipewa nilishangaa.Baba kazliwa na kukulia kwa wamasai na wapare anawajua mwanzo mwisho ila jibu alinipa nilishangaa sana.
Sasa ulishangaa af husemi....we kiazi sana aisee
 
Kuna aina kama nne za wafrika
1) bantu
2) nilote.( Lake nilote and plain nilote)
3)kushite
4)................( Nimesahau)
Kila moja Ina tabia zake!!
Kuna wenye nywele nyingi,Kuna wenye hasira,Kuna wataalamu wa kulipa kisasi!! Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…