Hebu taja misikiti ishirini ya hivyo!?.. wewe huswali upi!?Misikiti mingi ni kwa ufadhili wa matajiri karibia kila kitu na jukumu la muumini ni kuswali tu.
Misikiti ipo Tanzania kabla hata mafuta hayajagundulika arabuni,Kuna siku waislam walikufuata kukuomba hela ya luku au maji!?Kuna msikiti magomeni walikua wanachangisha hela ya umeme,utasikia mwenye mia5,mwenye elf moja,aje atuchangie,nikasema duu sasa luku nayo mchango tena kwa miamia.
Ndugu wajukuu wa mudi,acheni ubahili na kutegemea waarabu kila kitu,soon mafuta yatakosa soko sijui mtapata wapi wafadhili.
Me nafikiri approach nzuri ni misikiti kujiwekea mifumo mizuri ya kujiingia pesa zake yenyewe bila kutegemea sadaka.Kuna msikiti magomeni walikua wanachangisha hela ya umeme,utasikia mwenye mia5,mwenye elf moja,aje atuchangie,nikasema duu sasa luku nayo mchango tena kwa miamia.
Ndugu wajukuu wa mudi,acheni ubahili na kutegemea waarabu kila kitu,soon mafuta yatakosa soko sijui mtapata wapi wafadhili.
Swadaka na zakka't ndizo zinazotakiwa kuendesha misikiti,si kila msikiti una fursa ya kuweka frame za biashara au uwezo wa kuwa na shule au zaha ATI,waislam hawana kawaida ya kulipa zakka't,wameambiwa mpaka mtaji uzunguke mwaka bila kupata hasara ndiyo watoe zakka'tMe nafikiri approach nzuri ni misikiti kujiwekea mifumo mizuri ya kujiingia pesa zake yenyewe bila kutegemea sadaka.
Misikiti inaweza kuwa na miradi ya maduka, Kuna misikiti mingi imezungukwa na fremu za biashara. Hiki ni chanzo muhimu Kwa mapato ya msikiti. Pia misikiti ina na miradi kama shule, hospitali na vyanzo vingine vya pesa kuliko kutegemea waumini.