Kipi hupelekea Waislamu kutoa sadaka kiduchu licha ya ukwasi walionao?

Kipi hupelekea Waislamu kutoa sadaka kiduchu licha ya ukwasi walionao?

Hawana miongozo wala ulazima wa kupeana sadaka...
 
Wanapoita kwenda kuswali kwa adhana huwa wanakuita na kadiri wewe ukaswali!?

Kama hawiti watu kwanini kuweka mispika mikubwa?je nikienda kusali utanizuia?acha kujimilikisha dini za waarabu.
 
Uislamu unabebwa na waarabu kwa sababu una faida kwao. Wanapata hela nyingi kutoka kwa waislam wanaoenda kuhiji Makka na Madina kutoka nchi mbali mbali duniani. Sehemu ya faida katika hizo hela ndizo zinatumika kujenga misikiti huku Africa na nchi zingine kwa kupitia taasisi za hao waarabu

taasisi za kiislam za Waarabu ndizo zinatoa hela za kujenga misikiti..
 
Sasa wewe mpagani unajipya,bila waarabu hakuna uislamu,soon uchumi wa waarabu unaenda kufa,wajanja waarabu wameanza kujinusuru kwa anguko hilo kwanza kwa kuanza kufungamana na usa na israel.

Pili wameanza kutengeneza miji ya kitalii kama dubai ili angalau kupata pesa kupitia utalii.

Tatu wameanza kuondoa sheria za kipuuzi za kiislamu ili kuruhusu muingiliano wa watu wa mataifa mbalimbali.

Sasa wewe mmatumbi uliyekaririshwa vitabu vya waarabu kaa kizembe tu ukisubiri misaada ya kujengewa msikiti na kulishwa tende.
Misikiti Tanganyika ipo kabla ya mwaka 1300,endelea kufuga chuki dhidi ya uislam uone utapata nini
 
Uislamu unabebwa na waarabu kwa sababu una faida kwao. Wanapata hela nyingi kutoka kwa waislam wanaoenda kuhiji Makka na Madina kutoka nchi mbali mbali duniani. Sehemu ya faida katika hizo hela ndizo zinatumika kujenga misikiti huku Africa na nchi zingine kwa kupitia taasisi za hao waarabu

taasisi za kiislam za Waarabu ndizo zinatoa hela za kujenga misikiti..
Unajiita freshman ila unayoandika doesn't reflect your name my brother......

Hivi kwanini mnapenda kuongea mambo msiyokuwa na uhakika nayo wazee??

Honesty speaking huwa spendezwi kabisa na mtu anaesema kitu katika umma wa watu tena kwa kuwaaminisha kitu ambako hakijui, hana maarifa nacho ila anavyokiongea utafikiri anakijua

Kama hijja ni kwaajili ya kuwanufaisha waarabu basi nijibu hijja ilianza lini na ilianzishwa na nani??

Kamwe! Huna hayo majibu nahakika!

Kwa taarifa yako hijja imeanza bado hata ayo nafuta ya Arab, utandawazi sjui huo uG3, G7 Mara G10 haujaanza it started early even before industry revolution, zama za watu wakipanda wanyama kama usafiri brother

Na kwa taarifa yajo hata wakati ikianzishwa hijja ya kiislam pale makka waliokuwa wakipinga na kupiga vita hijja walikuwa hao waarabu wenyewe tena viongozi wenye power, mamlaka na pesa tena viongozi , sasa how can you fight against the something you started bro? Kama kweli walianzisha ili wapige pesa??

Acha kutukana imani za watu huko ni kukoswa adabu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom