Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Sijasema kutoa sadaka haifai, kama unayo pesa toa. Kisichofaa ni kuweka utaratibu kwamba kila baada ya ibada basi upite mchango, kila ibada basi pawe na mchango, jambo hili ndio halipo. Msikiti ni sehemu ya ibada na si kuchangishana pesa.Swadaka na zakka't ndizo zinazotakiwa kuendesha misikiti,si kila msikiti una fursa ya kuweka frame za biashara au uwezo wa kuwa na shule au zaha ATI,waislam hawana kawaida ya kulipa zakka't,wameambiwa mpaka mtaji uzunguke mwaka bila kupata hasara ndiyo watoe zakka't
Ni vizuri zaidi msikiti wenyewe ukiwa na namna ya kujiingizia kipato bila kutegemea sadaka, shule, hospitali na fremu ni mifano tu, lakini Kuna namna nyingi tunaweza kuzitumia misikiti ikawa na vyanzo vya mapato.