Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba
Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo mbususu haiwezi kufunguka🤔 Sijui ni uvivu wa kuiandaa, labda inahitaji maandalizi makubwa sana🤔 Inaumiza sana! Yaani kitu cha kutranua tu ndo kipelekee masikitiko kwenye ndoa zao. Damn it
Sio tu kwa wanandoa, hata sisi tuliochagua kuishi maisha ya kitawa tunapitia masaka makubwa sana
Unafikia hatua ya kumtumia mpaka nauli, lakini ile tu kukunjua roho inamuwia ugumu. Dah! Sijui wanawaza kushusha brand🤔
Ah, nshakasirika tayari