mwaka ambao nimefanya sana mapenzi katika maisha yangu toka mwezi wa 2 hadi wa 11 karibu kila siku.Habarini JF members,
Maisha ya mwanadamu yana vipindi vya furaha na huzuni, chochote kati ya hivyo viwili kinaweza kubaki katika kumbukumbu ya maisha kutokana na kilivyomuumiza/kumfurahisha.
Huu uzi naomba tushee visa/mikasa/wonderfull moment happened in 2019.
N.B Kuna mafundisho mengi sana kwenye mapito ya binadamu mwenzako.
WELCOME 2020!
Sent using Jamii Forums mobile app
000000000 aikyuNilizichakata sana papuchi mwaka huu kuliko maelezo yaani mpka kufikia ukingoni bado nazichakata tu,
Muda si mrefu pia naenda kuichakata papuchi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka ambao nilimpenda my friend sana na anajua hivyo..sasa juzi kanipa mshangao akanitamburishe kipenzi chake...aisee tumbo lilinikata ghafla nikagoma kwenda...nikampa block kote lengo nimsahau kabisa..kuna watu wakatili duniani...Namshukru kwa kipindi chote alichonipa furaha otherwise namtakia kila la kheri..hili nalo litapita
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa thank you dear and let's go together for real[emoji3] tatizo sina chura Behaviourist
Tunaweza kuyajenga mkuuTrust me anajua sana na amenifanyia makusudi.Mungu anamuona huko may be hanipendi..M not chasing again .wacha nipishe njia tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanishauri nini ambaye sijaoaNamshukuru Mungu,nimetimiza lengo la kuanza kujitegemea(ghetto life)am happy ,ila pia nashukuru nimechezea kibuti kwa mtu niliyekua namlove love, ila freshi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Komaa mjomba,ila kuoa duhh bonge moja la task!Mwaka 2019 malengo yalikuwa mawili la kwanza kukuza biashara yangu 98% nimefanikiwa La pili ilikuwa kuoa na kuanzisha familia 0% nimeshindwa vibaya maana mpaka leo hata mchumba sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka ulio anza vizuri kwangu, nimepata kazi nzuri sana ila ni mwaka unao isha nikiwa na hofu kuu baada ya kuuza mechi kwa mtu anayesadikika kuwa na maradhi yale.
mpaka sasa naishi kwa hofu, nimeichezea afya yangu kipumbavu sana hadi siamini maana mwezi wa 1 na 5 nilipima ila mwezi wa 8 nakuja uza mechi kibwege mpumbavu mimi.
wakuu tunzeni afya zenu,mawazo niliyo nayo si ya nchi hii
hujawai kuniangusha kweny iyo sekta mkuu ๐๐๐salute kwako nikiwa mkubwa Sana nataka niwe kama ww ๐๐Nilizichakata sana papuchi mwaka huu kuliko maelezo yaani mpka kufikia ukingoni bado nazichakata tu,
Muda si mrefu pia naenda kuichakata papuchi moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza bidii