Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Habarini JF members,

Maisha ya mwanadamu yana vipindi vya furaha na huzuni, chochote kati ya hivyo viwili kinaweza kubaki katika kumbukumbu ya maisha kutokana na kilivyomuumiza/kumfurahisha.

Huu uzi naomba tushee visa/mikasa/wonderfull moment happened in 2019.

N.B Kuna mafundisho mengi sana kwenye mapito ya binadamu mwenzako.

WELCOME 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka ambao nimefanya sana mapenzi katika maisha yangu toka mwezi wa 2 hadi wa 11 karibu kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]RIP UNCLE

kelphin kepph
 
Nilifanikiwa kupata kadi na kujiunga na chama cha siasa ambacho nilikuwa nakipenda tangia kiliposajiliwa
 
Huna tofauti na Mimi kaka ,nimeumia sana
Ni mwaka ambao nilimpenda my friend sana na anajua hivyo..sasa juzi kanipa mshangao akanitamburishe kipenzi chake...aisee tumbo lilinikata ghafla nikagoma kwenda...nikampa block kote lengo nimsahau kabisa..kuna watu wakatili duniani...Namshukru kwa kipindi chote alichonipa furaha otherwise namtakia kila la kheri..hili nalo litapita

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwaka ulio anza vizuri kwangu, nimepata kazi nzuri sana ila ni mwaka unao isha nikiwa na hofu kuu baada ya kuuza mechi kwa mtu anayesadikika kuwa na maradhi yale.

mpaka sasa naishi kwa hofu, nimeichezea afya yangu kipumbavu sana hadi siamini maana mwezi wa 1 na 5 nilipima ila mwezi wa 8 nakuja uza mechi kibwege mpumbavu mimi.

wakuu tunzeni afya zenu,mawazo niliyo nayo si ya nchi hii
 
Namuomba Mungu mwaka 2020
Mipango niliyo ipanga itimie 2019 nimeshindwa kutimiza malengo niliyo jipangia
 
Pole sana mkuu
Ni mwaka ulio anza vizuri kwangu, nimepata kazi nzuri sana ila ni mwaka unao isha nikiwa na hofu kuu baada ya kuuza mechi kwa mtu anayesadikika kuwa na maradhi yale.

mpaka sasa naishi kwa hofu, nimeichezea afya yangu kipumbavu sana hadi siamini maana mwezi wa 1 na 5 nilipima ila mwezi wa 8 nakuja uza mechi kibwege mpumbavu mimi.

wakuu tunzeni afya zenu,mawazo niliyo nayo si ya nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlipanga kufanya project moja matata sikuweza japo target ya kifedha ilifika,katikati mwaka huu ilibidi kufikiria namna ya kuanzisha project nyingine bora zaidi iliyohitaji kiwango kikubwa cha fedha tofauti na mwazo,nakomaa mwakani mapema kabisa nifikie kwenye lengo langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom