Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
We ni me o ke?Trust me anajua sana na amenifanyia makusudi.Mungu anamuona huko may be hanipendi..M not chasing again .wacha nipishe njia tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mambo mengi sana, ila hili la lililopo sasa hivi nitashea labda nikishalivuka maana sasa hivi hata mtu akiniuliza tu najikuta nalia. Hapa penyewe machozi yashaanza, acha tu mkuu
AmeenNi mwaka ambao nimepita katika kila Aina ya vipindi.
Kiroho Ni mwaka nilioimarika Sana,MUNGU alinionyesha kipawa(karama yangu) na baada ya hapo nimepita sehemu ngumu Sana.
Ni mwaka niliopitia magumu mengi,Hadi kuna muda unafika nakata tamaa lakini bado MUNGU ananiambia nisimame.
Familia yangu imepita kwenye misukosuko Sana ila sikuchoka kuomba.
Ni mwaka ambao nimepata marafiki,
Wengine niliwaacha waende maana hawakujua umuhimu wa urafiki wangu na kujitoa kwangu,
Wengine bado nashirikiana nao katika kila Khali.
Hawa wote naomba baraka za Mungu ziwe juu yao.
Ni mwaka ambao rafiki yangu wa karibu(yumo humu) ameondokewa na Mama yake mzazi..hii Ni Jana tu.
Yote Yote kwa yote namshukuru Sana MUNGU.
Ametuagiza tushukuru kwa yote mema na mabaya.
Yeye Ni MUNGU na atabaki kuwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana bablaiMwaka wa majangaa kiasi na baraka pia... Nimegraduate salama lakini pia mwaka ambao nimeibiwa simu yangu pendwaaa[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji27][emoji27][emoji27] na mwaka unaoisha nikiwa na deni flani amaizing ila yatakwisha... Kubwa kuliko yote ni mwaka ambao nimepata mtoto so Ashukuriwe Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana naimani umejirekebishaWrite your reply...daah sitakaa nisahau alikuwa ni mwanafunzi nilikimbia usiku peku sikujali mbigiri wala miiba na bukta yangu ya chelsea kitumbo wazi kuwaepuka wagambo wazazi wakiume walinirushia ndonga likanipata kwenye bega mengine yalinikosa sitasahau
hongera saa mbovu2019
Mwaka ambao nimepata mtoto wa Kiume. Before nilikuwa na mtoto wa kike. Nilitamani sana nipate wa kiume.
Ninafuraha sana maana mwanangu imekuwa ni alama ya 2019
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana jifunze self control itakusaidia sana2019 ni mwaka ambao niliirudia nyeto kwa kasi kubwaa baada ya kukuta uzi fulani humu ukiisifia punyeto. Mpaka leo namlaani sana yule mtoa thread[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee pole sana na samahani kama nimedistort ur feelingNi mambo mengi sana, ila hili la lililopo sasa hivi nitashea labda nikishalivuka maana sasa hivi hata mtu akiniuliza tu najikuta nalia. Hapa penyewe machozi yashaanza, acha tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana mateNi mambo mengi sana, ila hili la lililopo sasa hivi nitashea labda nikishalivuka maana sasa hivi hata mtu akiniuliza tu najikuta nalia. Hapa penyewe machozi yashaanza, acha tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wetu aliyewavusha salama wana wa Israel akakuvushe nawewe katika jaribu lako uvuke salama na kwa ushindi.
Amen mateMungu wetu aliyewavusha salama wana wa Israel akakuvushe nawewe katika jaribu lako uvuke salama na kwa ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapajakuwa na vifo vingi vilivyosababishwa na majanga ya dunia...
Naomba Kama hutojali niambie kuleNi mambo mengi sana, ila hili la lililopo sasa hivi nitashea labda nikishalivuka maana sasa hivi hata mtu akiniuliza tu najikuta nalia. Hapa penyewe machozi yashaanza, acha tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app