Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Kipi hutakisahau mwaka 2019?

Ni mwaka ambao nimepita katika kila Aina ya vipindi.

Kiroho Ni mwaka nilioimarika Sana,MUNGU alinionyesha kipawa(karama yangu) na baada ya hapo nimepita sehemu ngumu Sana.
Ni mwaka niliopitia magumu mengi,Hadi kuna muda unafika nakata tamaa lakini bado MUNGU ananiambia nisimame.

Familia yangu imepita kwenye misukosuko Sana ila sikuchoka kuomba.

Ni mwaka ambao nimepata marafiki,
Wengine niliwaacha waende maana hawakujua umuhimu wa urafiki wangu na kujitoa kwangu,
Wengine bado nashirikiana nao katika kila Khali.
Hawa wote naomba baraka za Mungu ziwe juu yao.

Ni mwaka ambao rafiki yangu wa karibu(yumo humu) ameondokewa na Mama yake mzazi..hii Ni Jana tu.

Yote Yote kwa yote namshukuru Sana MUNGU.
Ametuagiza tushukuru kwa yote mema na mabaya.
Yeye Ni MUNGU na atabaki kuwa Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka wa majangaa kiasi na baraka pia... Nimegraduate salama lakini pia mwaka ambao nimeibiwa simu yangu pendwaaa[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji27][emoji27][emoji27] na mwaka unaoisha nikiwa na deni flani amaizing ila yatakwisha... Kubwa kuliko yote ni mwaka ambao nimepata mtoto so Ashukuriwe Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
safi sana bablai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...daah sitakaa nisahau alikuwa ni mwanafunzi nilikimbia usiku peku sikujali mbigiri wala miiba na bukta yangu ya chelsea kitumbo wazi kuwaepuka wagambo wazazi wakiume walinirushia ndonga likanipata kwenye bega mengine yalinikosa sitasahau
pole sana naimani umejirekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom